Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Mpina hapa alipigwa na kitu kizito, hakuamini alichokuwa anakisikia
.
Kama vile alitaka awe anaota, hajaelewa kabisa kuhusu mama ake Lucas Mwashambwa kupitishwa kugombea Urais 2025.
Sa itakuaje?

Unadhani nini kilikuwa kinapita kichwani kwake muda huo? Nani alikuwa azimio lake? Au na yeye alitaka kuchukua fomu kumchalenji mama?
Pia soma: Pre GE2025 - Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025
Mpina hapa alipigwa na kitu kizito, hakuamini alichokuwa anakisikia
.Kama vile alitaka awe anaota, hajaelewa kabisa kuhusu mama ake Lucas Mwashambwa kupitishwa kugombea Urais 2025.