Kamwambia nape,kama hakuna kura itakayoibiwa mbona unakataa tume huru ya uchaguziMpina ni mwanasiasa makini na mzalendo. Nampongeza kwa hii kauli yake ya kuheshimu vyombo vya dola pamoja na tume huru ya uchaguzi.
View: https://www.instagram.com/reel/DNgcF0SiDKW/?igsh=dXd4OXg4YWZ2NTdz
100%ACT ni CCM..
Huyu bado yuko CCM amekuja kwa kazi maalumu, mpinzani wa kweli hawezi kusema huu upumbavu, Monalisa shikilia hapo hapo huyu kweli ni pandikiziMpina ni mwanasiasa makini na mzalendo. Nampongeza kwa hii kauli yake ya kuheshimu vyombo vya dola pamoja na tume huru ya uchaguzi.
View: https://www.instagram.com/reel/DNgcF0SiDKW/?igsh=dXd4OXg4YWZ2NTdz
Fala tu..lofa yule ..mzee wa kupima kwa rula samaki waliokaangwa...Unaiba kuingia madarakani alafu unatuahidi utazuia wizi ukiwa kiongoziš¤£š¤£š¤£
Mpina simtu wakujadiliwa humu, Hana hata hiyo hadhi yeye afanye alichotumwa na wakoloni weusi
Umechelewa sana kulifahamu hiloMmmh
Kweli huyu ni kazi maalum!
Project ya CCMMpina ni mwanasiasa makini na mzalendo. Nampongeza kwa hii kauli yake ya kuheshimu vyombo vya dola pamoja na tume huru ya uchaguzi.
View: https://www.instagram.com/reel/DNgcF0SiDKW/?igsh=dXd4OXg4YWZ2NTdz
Naamini sasa umejiona ulivyo mata.ko..Mpina ni mwanasiasa makini na mzalendo. Nampongeza kwa hii kauli yake ya kuheshimu vyombo vya dola pamoja na tume huru ya uchaguzi.
View: https://www.instagram.com/reel/DNgcF0SiDKW/?igsh=dXd4OXg4YWZ2NTdz