Tetesi: Mpina: Hata wakitaka na Ubunge nitawaachia lakini sitonyamaza

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
"....Tatizo jamaa wanadhani mimi nitababaishwa na mbinu yao chafu ya kutumia chombo cha habari kunitweza hahahaha!"

Brother, kwa akili yako eneo lile lingekuwa na tabu mwamba (JPM) angeniacha salama?!"

"Yule kijana (Mwandishi wa TBC)aliitwa Dar es Salaam usiku na alifuatwa na v8 akapangwa cha kwenda kureport including wale viongozi wa kijiji walitumiwa fungi la kutosha ili pamoja na wao wawatafute wakina mama wenye shombo pale kijiji kile wakatengeneza sinema nzuri ya kuropoka!"

"Acha wapige kelele na hata wakitaka hilo eneo acha wachukue muhimu watambue sitonyamaza abadani!"

Mpina.
 
Akikata kamba tutajua kasaidiwa kwa lazima kukata kamba


Drama tu🤣
 
Hakuna kurudi nyuma kanyaga twende. Shida nyote wachafu ukisema uchafu wa mwenzako wanaibua wa kwako lakini sema usiache tu
 
atakuwa anampigia kelele nani asinyamaze?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…