GE2025 Mpina hawajamtendea haki pamoja na watanzania tulio wengi wenye kupinga maovu ya serikali

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Sappire

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2024
Posts
5,419
Reaction score
13,531
Hizi tetesi za mpina kukatwa na wajumbe ni za kweli?Kama ni za kweli basi hii Nchi inawapumbavu wengi sana.Haiingii akilini mtu ukiwa msema ukweli bila uoga unakuwa adui wa serikali hadi kupokonywa Kwa mabavu haki ya kuwa mbunge ili kuendelea kuwapambani watanzania.Watanzania wamechoka kuendelea kuwa na bunge kibogoyo Kila siku.Mwenye CV za hao wajumbe waliomkata mpina aziweke hapa
 
Mwenyekiti chake ndo anapanga nani atoke nani akatwe ajabu sana tawala zilizofitinika ​
 
Hiki kipengele Cha wajumbe kinahitaji mabadiliko.Muda mwingine kinafanya maamuzi Kwa chuki na fitina
Mwenyekiti chake ndo anapanga nani atoke nani akatwe ajabu sana tawala zilizofitinika E ​
 
Hizi tetesi za mpina kukatwa na wajumbe ni za kweli?Kama ni za kweli basi hii Nchi inawapumbavu wengi sana.Haiingii akilini mtu ukiwa msema ukweli bila uoga unakuwa adui wa serikali hadi kupokonywa Kwa mabavu haki ya kuwa mbunge ili kuendelea kuwapambani watanzania.Watanzania wamechoka kuendelea kuwa na bunge kibogoyo Kila siku.Mwenye CV za hao wajumbe waliomkata mpina aziweke hapa
Akagombee CHADEMA ambapo nidhamu hakuna. Ndani ya CCM huwezi kumropokea mwenyekiti ukabaki salama kisiasa. Huko CHADEMA ndo hutukanana kama wendawazimu.
 
Chama si ni chao na wao ndio wameamua mkuu, Kuna shida?
 
Leta ushahidi wa video kuonesha kuwa alimtukana mwenyekiti.Viongizi waziri wanafukuzwa tinabaki na ya ndiyoooo Kila kitu hata kisichofaa
Akagombee CHADEMA ambapo nidhamu hakuna. Ndani ya CCM huwezi kumropokea mwenyekiti ukabaki salama kisiasa. Huko CHADEMA ndo hutukanana kama wendawazimu.
 
Hizi tetesi za mpina kukatwa na wajumbe ni za kweli?Kama ni za kweli basi hii Nchi inawapumbavu wengi sana.Haiingii akilini mtu ukiwa msema ukweli bila uoga unakuwa adui wa serikali hadi kupokonywa Kwa mabavu haki ya kuwa mbunge ili kuendelea kuwapambani watanzania.Watanzania wamechoka kuendelea kuwa na bunge kibogoyo Kila siku.Mwenye CV za hao wajumbe waliomkata mpina aziweke hapa
Matunda ya viongozi waislamu
 
Mpina ni mwizi
 
Anyone who didn’t see this thing coming doesn’t know Tanzanian politics in general and CCM politics in particular!
 
Huwa tunawaambia CCM ni mwenyekiti na Mwenyekiti ndiye CCM!!
 
Hizi tetesi za mpina kukatwa na wajumbe ni za kweli?Kama ni za kweli basi hii Nchi inawapumbavu wengi sana.Haiingii akilini mtu ukiwa msema ukweli bila uoga unakuwa adui wa serikali hadi kupokonywa Kwa mabavu haki ya kuwa mbunge ili kuendelea kuwapambani watanzania.Watanzania wamechoka kuendelea kuwa na bunge kibogoyo Kila siku.Mwenye CV za hao wajumbe waliomkata mpina aziweke hapa
Wewe ni mgeni wa siasa za nchi hii? Hata yeye mwenyewe Mpina alijua hatoboi
 
Back
Top Bottom