Lakini hawa wananchi (wanaomuunga mkono Luhaga Mpina); wangetambua nguvu kubwa waliyo nayo wao pasingekuwepo na tatizo kabisa.Hizi tetesi za mpina kukatwa na wajumbe ni za kweli?Kama ni za kweli basi hii Nchi inawapumbavu wengi sana.Haiingii akilini mtu ukiwa msema ukweli bila uoga unakuwa adui wa serikali hadi kupokonywa Kwa mabavu haki ya kuwa mbunge ili kuendelea kuwapambani watanzania.Watanzania wamechoka kuendelea kuwa na bunge kibogoyo Kila siku.Mwenye CV za hao wajumbe waliomkata mpina aziweke hapa
Ninakubaliana na wewe, MAJINA ya hao wajumbe wa CCM yajulikane kwa wananchi wote. Hawa wanatoa maamuzi makubwa ya kuwaumiza wananchi huku wakitumia kichaka cha kujificha wasijulikane.
Ni muhimu hawa watu wawe wanajulikana, ili kukitolewa hukumu na wananchi iwahusu wao moja kwa moja.