Lakini hawa wananchi (wanaomuunga mkono Luhaga Mpina); wangetambua nguvu kubwa waliyo nayo wao pasingekuwepo na tatizo kabisa.Hizi tetesi za mpina kukatwa na wajumbe ni za kweli?Kama ni za kweli basi hii Nchi inawapumbavu wengi sana.Haiingii akilini mtu ukiwa msema ukweli bila uoga unakuwa adui wa serikali hadi kupokonywa Kwa mabavu haki ya kuwa mbunge ili kuendelea kuwapambani watanzania.Watanzania wamechoka kuendelea kuwa na bunge kibogoyo Kila siku.Mwenye CV za hao wajumbe waliomkata mpina aziweke hapa
Wajumbe bado. Hatua hii ni KAMATI za Siasa. Hao watatu wakiidhinishwa na CHAMA ndo watapigiwa kura na wajumbeHizi tetesi za mpina kukatwa na wajumbe ni za kweli?Kama ni za kweli basi hii Nchi inawapumbavu wengi sana.Haiingii akilini mtu ukiwa msema ukweli bila uoga unakuwa adui wa serikali hadi kupokonywa Kwa mabavu haki ya kuwa mbunge ili kuendelea kuwapambani watanzania.Watanzania wamechoka kuendelea kuwa na bunge kibogoyo Kila siku.Mwenye CV za hao wajumbe waliomkata mpina aziweke hapa
Ni kwa ujinga tu; kwa sababu hawa wachache wanaofanya maamuzi ya kipumbavu ndio wangetakiwa wawajibishwe na wananchi huko huko waliko.Wewe ni mgeni wa siasa za nchi hii? Hata yeye mwenyewe Mpina alijua hatoboi
Kwani wajumbe wa kamati ya siasa ya wilaya hawajulikani?Lakini hawa wananchi (wanaomuunga mkono Luhaga Mpina); wangetambua nguvu kubwa waliyo nayo wao pasingekuwepo na tatizo kabisa.
Ninakubaliana na wewe, MAJINA ya hao wajumbe wa CCM yajulikane kwa wananchi wote. Hawa wanatoa maamuzi makubwa ya kuwaumiza wananchi huku wakitumia kichaka cha kujificha wasijulikane.
Ni muhimu hawa watu wawe wanajulikana, ili kukitolewa hukumu na wananchi iwahusu wao moja kwa moja.
Nasimama na mpina.Hizi tetesi za mpina kukatwa na wajumbe ni za kweli?Kama ni za kweli basi hii Nchi inawapumbavu wengi sana.Haiingii akilini mtu ukiwa msema ukweli bila uoga unakuwa adui wa serikali hadi kupokonywa Kwa mabavu haki ya kuwa mbunge ili kuendelea kuwapambani watanzania.Watanzania wamechoka kuendelea kuwa na bunge kibogoyo Kila siku.Mwenye CV za hao wajumbe waliomkata mpina aziweke hapa
Bora mkae tu chini maana mtachoka kusimama, mitano bilabila !Nasimama na mpina.
Mifumo ya kisiasa ndani ya ccm haiangalii nani anakubalika kwa wapigakura wala nani yupo vizuri kichwani wala nani anajenga hoja zenye tija!Hizi tetesi za mpina kukatwa na wajumbe ni za kweli?Kama ni za kweli basi hii Nchi inawapumbavu wengi sana.Haiingii akilini mtu ukiwa msema ukweli bila uoga unakuwa adui wa serikali hadi kupokonywa Kwa mabavu haki ya kuwa mbunge ili kuendelea kuwapambani watanzania.Watanzania wamechoka kuendelea kuwa na bunge kibogoyo Kila siku.Mwenye CV za hao wajumbe waliomkata mpina aziweke hapa