Mpina: Kifungu kilichotumiwa na Spika Tulia kunituhumu na kunihukumu hakipo!

BADALA ya kujib Hoja based on facts alizozitoa MPINA, weee unaungana na Msukuma darasa la Saba kUmshambulia MPINA.



Uislam na Ujinga, Kwa hapa Tanzania ni Pete na kidole.
 
Hotuba nzuri sana inasisimua mno kwa bahati mbaya sisi wote wenye mitizamo ya kupigania haki,dhuluma,upendeleo,Rushwa tunaona jinsi kazi ngumu iliyopo mbele yetu jinsi mtu mwenye hadhi ya ubunge anavyoweza kupokwa haki na kudidimizwa je, hawa wanyonge wanaodhulumiwa ardhi,watumishi wanao nyimwa haki zao za kupandishwa vyeo hata kama Rais ameagiza na mambo mengine kama hayo.
Nadhani lazima tupambane kutoa elimu na kuwabainisha waovu wote wanaofanya uovu kwa kutumia mwamvuli wa vyeo walivyopewa na tuchukue hatua kali dhidi yao.
 
BADALA ya kujib Hoja based on facts alizozitoa MPINA, weee unaungana na Msukuma darasa la Saba kUmshambulia MPINA.



Uislam na Ujinga, Kwa hapa Tanzania ni Pete na kidole.
Nimemsikiliza mwanzo mpaka mwisho, nilichokiona anatafuta huruma ya NEC na anawajaza ujinga wajinga wengine.

Hana lolote huyo, anaendelea kusema uongo tu, eti hajapewa fursa ya kujitetea, wakati kila kitu kilikuwa live. Anawadanya wasiofatilia haya mambo kwa kina.

Hana hoja poyoyo huyo.
 
Mwakani agombee ubunge wa nchi nzima kura yangu inamsubiri
 
Ukiwa SISIEMU hautakiwi kuwa mkweli ,ukiwa mkweli utapata matatizo sana ,washazoe wizi hao.

Mpina komaa nao mpaka kieleweke.
 
Anachokifanya MPINA... Darasa la Saba na wenye akili za ovyo, watakimbilia kusema "huko mahakaman mambo ni yaleyale, aache tu, anapoteza muda"



Sisi wenye akili za Akina MPINA, Lengo letu ni

1-kuendelea kuuanika Hadharani ufisadi wa BASHE na walohusika.

2-Kuendelea kuanika uozo wa Spika Betina anayejiita ni Nguli wa Sheria


3--Sasa Wananchi wanazidi kufatilia BASHE.
 
kazuiliwa baadaya kupeleka kitu chake cha ushahidi na baada ya kusikilizwa kwa siku kadhaa na kamati.

Hukumu ya kuondoilewa bungeni imetolewa na bunge lote. Kila mtu kashuhudia.

zingine zote ni porojo zake tu.
KWa Mujibu wake Anasema hajawahi kusikilizwa Licha ya Kupeleka Ushahidi na hata siku ya Kujitetea hakupewa Mda wa Kufanya hivyo
 
Rango kaliua kabisa Bunge .
 
Kuna kundi kubwa kabisa la wabunge nyuma yake limeshachoka na mama maushungi na ufisadi wake. Subiri uone atakavyopigwa chini kimkakati mwaka ujao.
 
Yaani we Bi Faiza una michango na mambo ya hovyo sana, Wabunge wa CCM siku ile walikuwa wanamshambulia na kutukana pasipo kujielekeza kwenye hoja ya msingi halafu na Spika alikuwa anaruhusu ujinga na kejeli na matusi kimwelekea Luhaga. Kwa kifupi hili bunge ni uozo mtupu na wewe kama Mtanzania kwa sababu Unakula na kusaza umekosa hoja za msingi na umeelekeza hisia zako binafsi zilizojaa chuki. unakosea sana halafu na wewe ni Muislamu sijui huo Uislamu wako una kufundisha na kukuelekeza hivyo?
 
Anatema madini na anawaacha UCHI.
 
Ustaadh Faiza 🐼
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…