Mpina kuwapeleka Mahakamani Waziri Bashe na Bodi ya Sukari kwa kutoa idhini ya vibali vya kuagiza sukari kinyume cha Sheria

Huyu ndo msukuma halisi sio wale wa kuchovya chovya...
 
Hata Kimani Ichungwa alikuwa na dharau Kama Zako, ila alikimbia Kama mjinga siku vijana wamevamia bunge.
kwa mihemko na ghadhabu hizo dhaifu hivyo mbona kuwadhibit na kuwakabili bara bara ni rahisi sana aise tena ni mimi mwenyewe tu bila polisi...

kama mpina tu atakavyodhibitiwa kirahisi kwa fedheha na mahakama kwa kupotoshwa na mwabukusi kama alivyojaribu kulipotosha bunge
 
Jifunze kukaa kimya Kama hauna la kusema.
nimnyamaizie mpotoshaji, mim? thubutu...

kwamba mpotoshaji alitaka maoni yake na waliyomtuma yazingatiwe kwenye hali ya dharura walio kwenye mfungo mtukufu watumie chumvi right?

kama kampuni alizopendelea zipewe tenda ya sukari ili apate 10% hazikupata fursa hiyo hana haja ya kua na hasira namna ile
 
Nasimama na Mtani wangu Mpina 🤣🤣
Kapitie Huu uzi

"Mpina afunguka, asema Kifungu kilichotumiwa na Spika Tulia kumtuhumu na kumhukumu hakipo!"
daima upotoshaji hautanyamaziwa wala kuvumiliwa pande hizi,

na nina hakika uongo ule unakwenda kuishia mahakamani kwa fedheha sana,

and that will make the beginning of political end of a lie from kisesa, politically speaking
 
daima upotoshaji hautanyamaziwa wala kuvumiliwa pande hizi,

na nina hakika uongo ule unakwenda kuishia mahakamani kwa fedheha sana,

and that will make the beginning of political end of a lie from kisesa, politically speaking
Hakuna mtu anayeweza Kujiamini Namna hiyo kukubali kupoteza vikao 15 na hata Kupoteza Heshima kwa ajili ya Kutetea Kitu cha Uongo..

Sitaki kuamini Hivyo..
Japo inaweza Kuwa kweli au uongo
 
Watajuana wenyewe Kwa wenyewe
 
Hawa ndiyo wabunge wanaojitambua
 
Mbuyu ulianza kama mchicha 🐼
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…