Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
mpotoshaji na mdanyanyaji anaamua kujaribu kwenda kuidanganya mahakama? anyway hii itasaidia kumaliza jeuri, hasira na kiburi yake mwenyewe kabisaa [emoji205]
Wewe ndio walr wanaoitwa stupid.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mpotoshaji na mdanyanyaji anaamua kujaribu kwenda kuidanganya mahakama? anyway hii itasaidia kumaliza jeuri, hasira na kiburi yake mwenyewe kabisaa [emoji205]
Dominica Njema 😂😀😀Watajuana wenyewe Kwa wenyewe
mtasema yote,
na mahakama itawaumbua kirahisi mno [emoji205]
hiyo jeuri na kiburi inakwenda kwisha vizuri sana panapostahili kwakujipeleka mwenyewe,
hii ndio inaitwa ujuaji mwingi Mbele kiza sasa [emoji1787]
Jifunze kukaa kimya Kama hauna la kusema.
Hawa mawakili mara nyingi utaona wanatetea Wanasiasa Tu, labda ni kwa sababu wanalipwa lakini huwezi kuwaona wakitetea maslahi mapana ya raia kama haya ya Ufisadi , dhulma n.kwapi kibatala?, wapi mwabukusi??, wapi madeleka? ni wakati sahihi wa kuonesh uzalendo wenu sasa!
Stupidity in the highest level!!mpotoshaji na mdanyanyaji anaamua kujaribu kwenda kuidanganya mahakama? anyway hii itasaidia kumaliza jeuri, hasira na kiburi yake mwenyewe kabisaa 🐒
utaelewa nini sasa wewe na mihemko na ghadhabu zako asubuhi asubuhi?Punguani jingine lisilojielewa hili hapa. Hata ukiliuliza kwa kauli yake hii linamaanisha nini, haliwezi kukuambia.

mtaporomosha mitusi ya namna zote, but mpotoshaji na muongo anajichanganya tu kama anavyodai mwenyewe ni mbuzi wa kafara, kwa kupotoshwa na mwabukusiStupidity in the highest level!!

umepanic gentleman kujaribu kutetea mpotoshaji na muongo right?Wewe ndio walr wanaoitwa stupid.

Hajakoma kukurupuka na kuita waandishi wa habari?
Sikio la kufa halisikii dawa.
amini nakwambia jamaa wa kisesa ni muongo asie mzalendo alieKua na nia ya kupotosha serikali na kuitimbukiza nchi kwenya matatizo wakati wa dharuraHakuna mtu anayeweza Kujiamini Namna hiyo kukubali kupoteza vikao 15 na hata Kupoteza Heshima kwa ajili ya Kutetea Kitu cha Uongo..
Sitaki kuamini Hivyo..
Japo inaweza Kuwa kweli au uongo
amini nakwambia jamaa wa kisesa ni muongo asie mzalendo alieKua na nia ya kupotosha serikali na kuitimbukiza nchi kwenya matatizo wakati wa dharura
zingatia nino DHARURA
Mkuu naona CCM inakulipa vizuri sana kutwa kuipigia debe japo haiuziki😂😂😂😂kwa mihemko na ghadhabu hizo dhaifu hivyo mbona kuwadhibit na kuwakabili bara bara ni rahisi sana aise tena ni mimi mwenyewe tu bila polisi...
kama mpina tu atakavyodhibitiwa kirahisi kwa fedheha na mahakama kwa kupotoshwa na mwabukusi kama alivyojaribu kulipotosha bunge![]()
amini nakwambia jamaa wa kisesa ni muongo asie mzalendo alieKua na nia ya kupotosha serikali na kuitimbukiza nchi kwenya matatizo wakati wa dharura![]()
zingatia nino DHARURA
sasa gentleman,Acha kuwa mpumbavu wewe kijana mdogo
Suala la Mpina bungeni sio kuwa alipotosha bunge au kusema uongo kwenye ripoti yake etc, kosa lake lilikuwa kapeleka ripoti yake vizuri tu bungeni kwa Spika, sasa alivyoikabidhi, alikosea hata kabla ripoti haijapitiwa na spika au bunge yeye Mpina siku hiyo hiyo akaita waandishi wa habari na kuitoa kwa umma..!! Yaani alimdharau Spika. Hapa ndio alikosea, ila hakupotosha bunge au serikali au ripoti yake kwamba ni ya uongo, sio hivyo, yeye kama Mpina aliadhibiwa kwa kulidharau bunge na Spika kwa kutoa ripoti kwa umma wakati kampa Spika siku hiyo hiyo.
Sijui kama umeelewa kosa la Mpina, naona wewe mtoto mdogo unaropoka ropoka hovyo humu, acha kuwa mpuuzi zaidi, it seems huna akili and still unazidi kuwa mpuuzi..!!
