Mpina kuwapeleka Mahakamani Waziri Bashe na Bodi ya Sukari kwa kutoa idhini ya vibali vya kuagiza sukari kinyume cha Sheria

Mpina kuwapeleka Mahakamani Waziri Bashe na Bodi ya Sukari kwa kutoa idhini ya vibali vya kuagiza sukari kinyume cha Sheria

mtasema yote,
na mahakama itawaumbua kirahisi mno [emoji205]

hiyo jeuri na kiburi inakwenda kwisha vizuri sana panapostahili kwakujipeleka mwenyewe,

hii ndio inaitwa ujuaji mwingi Mbele kiza sasa [emoji1787]

Punguani jingine lisilojielewa hili hapa. Hata ukiliuliza kwa kauli yake hii linamaanisha nini, haliwezi kukuambia.
 
wapi kibatala?, wapi mwabukusi??, wapi madeleka? ni wakati sahihi wa kuonesh uzalendo wenu sasa!
Hawa mawakili mara nyingi utaona wanatetea Wanasiasa Tu, labda ni kwa sababu wanalipwa lakini huwezi kuwaona wakitetea maslahi mapana ya raia kama haya ya Ufisadi , dhulma n.k
 
Hakuna mtu anayeweza Kujiamini Namna hiyo kukubali kupoteza vikao 15 na hata Kupoteza Heshima kwa ajili ya Kutetea Kitu cha Uongo..

Sitaki kuamini Hivyo..
Japo inaweza Kuwa kweli au uongo
amini nakwambia jamaa wa kisesa ni muongo asie mzalendo alieKua na nia ya kupotosha serikali na kuitimbukiza nchi kwenya matatizo wakati wa dharura :pedroP:

zingatia nino DHARURA
 
amini nakwambia jamaa wa kisesa ni muongo asie mzalendo alieKua na nia ya kupotosha serikali na kuitimbukiza nchi kwenya matatizo wakati wa dharura :pedroP:

zingatia nino DHARURA

kwa mihemko na ghadhabu hizo dhaifu hivyo mbona kuwadhibit na kuwakabili bara bara ni rahisi sana aise tena ni mimi mwenyewe tu bila polisi...

kama mpina tu atakavyodhibitiwa kirahisi kwa fedheha na mahakama kwa kupotoshwa na mwabukusi kama alivyojaribu kulipotosha bunge :pedroP:
Mkuu naona CCM inakulipa vizuri sana kutwa kuipigia debe japo haiuziki😂😂😂😂
 
amini nakwambia jamaa wa kisesa ni muongo asie mzalendo alieKua na nia ya kupotosha serikali na kuitimbukiza nchi kwenya matatizo wakati wa dharura :pedroP:

zingatia nino DHARURA

Acha kuwa mpumbavu wewe kijana mdogo

Suala la Mpina bungeni sio kuwa alipotosha bunge au kusema uongo kwenye ripoti yake etc, kosa lake lilikuwa kapeleka ripoti yake vizuri tu bungeni kwa Spika, sasa alivyoikabidhi, alikosea hata kabla ripoti haijapitiwa na spika au bunge yeye Mpina siku hiyo hiyo akaita waandishi wa habari na kuitoa kwa umma..!! Yaani alimdharau Spika. Hapa ndio alikosea, ila hakupotosha bunge au serikali au ripoti yake kwamba ni ya uongo, sio hivyo, yeye kama Mpina aliadhibiwa kwa kulidharau bunge na Spika kwa kutoa ripoti kwa umma wakati kampa Spika siku hiyo hiyo.

Sijui kama umeelewa kosa la Mpina, naona wewe mtoto mdogo unaropoka ropoka hovyo humu, acha kuwa mpuuzi zaidi, it seems huna akili and still unazidi kuwa mpuuzi..!!
 
sasa gentleman,
mim naropoka vipi hali ya kua unakiri mwenyewe kwamba huyo muungwana kakosea?

alikosea kwa makusudi gani basi, kama sio alilenga na kukusudia kupotosha umma na bunge kwa uongo na uzushi wa wazi kabisa, kwamba katika hali ya dharura serikali ilifanya makosa kuchukua hatua za dharura kunusuru nchi isiingie natatizoni kutokana na hali ya upungufu wa sukari kipindi cha mfungo...

unafahamu sheria inasemaje katika hali ya dharura?

mindset yako imeathirika na kufuata mkumbo tu lakini angalau uanafahamu makosa yapo wapi kwa kiasi, halafu unatetea kabisa ati jombaa anaenda mahakamani halafu eti atoboe, ni kichekesho :pedroP:
 
Back
Top Bottom