Mpina kuwapeleka Mahakamani Waziri Bashe na Bodi ya Sukari kwa kutoa idhini ya vibali vya kuagiza sukari kinyume cha Sheria

Uko sahihi kabisa, mh waziri husika anaonekana kuwa-outsmart wabunge na speaker, of course he is smart lakni ni vizuri akatanguliza maslahi mapana ya wananchi wakiwemo wakulima na wazalishaji wa ndani wa sukari. Kuagiza excess au surplus haimanishi kukabiliana Moja Kwa Moja na upugufu Vs bei, tumeshuhudia sukari ikifichwa kwenye maghala na kusababisha mfumuko wa bei na waziri husika ni shahidi mpaka serikali ikafanya intervention ya kutumia vyombo vya dola dhidi ya matajiri walioficha sukari, hivyo basi hata hii shehena ya sukari iliyoagizwa kwa wingi zaidi ya mahitaji isipokuwa na usimamizi, uthibiti na utashi mzuri wa kisiasa bado inaweza kufichwa na matajiri waliopewa vibali au kuhodhiwa na major suppliers hivyo within no time upungufu ukajitokeza na bei ikapanda tena. Nadhani suluhisho la kudumu ni NFRA kama alivyopendekeza speaker ipewe mandate ya kuhifadhi/reserve surplus Kwa wakati wote, wigo wa uzalishaji wa ndani uongezwe na vikodi/ushuru unaosababisha sukari ya ndani kuwa na Bei ya juu viondolewe mara Moja, haiwezekani katika ukanda wote wa Afrika mashariki Tanzania pekee ndo yenye Bei ya juu ya sukari na kusababisha sukari ya majirani zetu kupenya ndani ya nchi yetu.
 


Kanuni ipi wewe usiyejua lolote? Taja hiyo kanuni kama ipo, Mbunge kuongea na vyombo vya habari kavunja kanuni yoyote? Una uhakika, taja hiyo kanuni hapa, mbunge ni kiongozi wa wananchi, muda wowote anaweza ongea na vyombo vya habari, sio mbunge tu hata mwananchi wa kawaida anaweza ita waandishi wa habari kama ana jambo na kulisema, wewe bado mtoto mdogo hujui chochote zaidi ya ujinga na upuuzi, and if you went to school , you just have certificates but you don’t have IQ at all..!! You are too primitive and hooligan..!! Freedom of Speech hata hujui maana yake..!!
 
kwani yeye mpina anakiri kukosea kuvunja kanuni ipi, gentleman?

mbona uananika udhaifu wa usichokijua wala kukifahamu vema kwa mihemko na ghadhabu sana gentleman?

kukaa kimya nayo ni heshma zaidi,
kama uelewa na ufahamu wako kwa jambo hili na kwa kanuni za bunge ni wa kiwango hicho
 
Dhalura ya kuvunja sheria uliona wapi ikawa ni sawa?
 
Zingekuwa mahakama za Kenya ningeamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…