Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Nilirithi kutoka kwa baba wa EvilSpiritKwanini wewe uliwezaje kumiliki. Yale mapepo yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilirithi kutoka kwa baba wa EvilSpiritKwanini wewe uliwezaje kumiliki. Yale mapepo yako
karibu sana tukutane pale kwenye pulpit of cross-examinationmpotoshaji na mdanyanyaji anaamua kujaribu kwenda kuidanganya mahakama? anyway hii itasaidia kumaliza jeuri, hasira na kiburi yake mwenyewe kabisaa 🐒
Uko sahihi kabisa, mh waziri husika anaonekana kuwa-outsmart wabunge na speaker, of course he is smart lakni ni vizuri akatanguliza maslahi mapana ya wananchi wakiwemo wakulima na wazalishaji wa ndani wa sukari. Kuagiza excess au surplus haimanishi kukabiliana Moja Kwa Moja na upugufu Vs bei, tumeshuhudia sukari ikifichwa kwenye maghala na kusababisha mfumuko wa bei na waziri husika ni shahidi mpaka serikali ikafanya intervention ya kutumia vyombo vya dola dhidi ya matajiri walioficha sukari, hivyo basi hata hii shehena ya sukari iliyoagizwa kwa wingi zaidi ya mahitaji isipokuwa na usimamizi, uthibiti na utashi mzuri wa kisiasa bado inaweza kufichwa na matajiri waliopewa vibali au kuhodhiwa na major suppliers hivyo within no time upungufu ukajitokeza na bei ikapanda tena. Nadhani suluhisho la kudumu ni NFRA kama alivyopendekeza speaker ipewe mandate ya kuhifadhi/reserve surplus Kwa wakati wote, wigo wa uzalishaji wa ndani uongezwe na vikodi/ushuru unaosababisha sukari ya ndani kuwa na Bei ya juu viondolewe mara Moja, haiwezekani katika ukanda wote wa Afrika mashariki Tanzania pekee ndo yenye Bei ya juu ya sukari na kusababisha sukari ya majirani zetu kupenya ndani ya nchi yetu.Sababu ya kujadili hili ni kama wanahangaika ku counter hoja za Mpina.
But for me kila atakaye taka kufanya cover up kosa la Bashe anakuwa anajiingiza kwenye mtego wa kisheria
Wabunge wetu ni wajinga au wanauwezo mdogo wa kujadili mambo mazito.
Wanaamini kuingiza Sukari nyingi kutasaidia kushuka kwa Sukari wakati soko siku zote huongozwa na supply and demand and profit.
Suluhu ya Sukari ni uzalishaji wa ndani uwe mkubwa na Kodi ziwe chini
lengo ni nini sasa mpaka akafabya hivyo?
kwamba spika alimnyima fursa au spika hakua na uwezo, au kwa vile spika ni mwanamke, au spoka hajui kanuni za bunge.
kwanini umuhukumu spika kwa vyombo vya habari? kwanini umuhukumu waziri wa kilimo kwa vyombo vya habari? ndivyo kanuni zinavyotaka?
analalamika nini sasa kwamba hukupewa bafasi, wakati yeye alidharau kiti? hiyo ni useles kabisa
hata hivyo,
tuliza, ball, tuliza mihemko acha kufanya nazoezi ya kuanza kuporomosha matusi na kutukana gentleman![]()
kwani yeye mpina anakiri kukosea kuvunja kanuni ipi, gentleman?Kanuni ipi wewe usiyejua lolote? Taja hiyo kanuni kama ipo, Mbunge kuongea na vyombo vya habari kavunja kanuni yoyote? Una uhakika, taja hiyo kanuni hapa, mbunge ni kiongozi wa wananchi, muda wowote anaweza ongea na vyombo vya habari, sio mbunge tu hata mwananchi wa kawaida anaweza ita waandishi wa habari kama ana jambo na kulisema, wewe bado mtoto mdogo hujui chochote zaidi ya ujinga na upuuzi, and if you went to school , you just have certificates but you don’t have IQ at all..!! You are too primitive and hooligan..!! Freedom of Speech hata hujui maana yake..!!


Dhalura ya kuvunja sheria uliona wapi ikawa ni sawa?sasa gentleman,
mim naropoka vipi hali ya kua unakiri mwenyewe kwamba huyo muungwana kakosea?
alikosea kwa makusudi gani basi, kama sio alilenga na kukusudia kupotosha umma na bunge kwa uongo na uzushi wa wazi kabisa, kwamba katika hali ya dharura serikali ilifanya makosa kuchukua hatua za dharura kunusuru nchi isiingie natatizoni kutokana na hali ya upungufu wa sukari kipindi cha mfungo...
unafahamu sheria inasemaje katika hali ya dharura?
mindset yako imeathirika na kufuata mkumbo tu lakini angalau uanafahamu makosa yapo wapi kwa kiasi, halafu unatetea kabisa ati jombaa anaenda mahakamani halafu eti atoboe, ni kichekesho![]()
Kabisa kakaKibatala, Mwabukusi, Madeleka, Lisu, n.k
Zingekuwa mahakama za Kenya ningeaminiLuhuga Mpina ameyasema hayo katika Mkutano wake na Waandishi wa Habari uliofanyika jana tar 29 kuelekea 30, ikiwa ni mara ya kwanza kuzungumza baada ya kupewa adhabu ya kutohudhuria vikao 15 vya bunge.
Kusoma taarifa hiyo zaidi ingia kwenye link hii: Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina. Laamua kumfungia vikao 15
Akihitimisha taarifa yake Mpina alieza maadhimio yake kama ifuatavyo;
- Kupeleka malalamiko yake ya kuondolewa bungeni kwa uonevu na kutokutendewa haki na Spika wa Bunge Tulia Ackson kwenye vyombo vya sheria ili vikapime na kutoa haki kwa mujibu wa katiba ya Tanzania na sheria za nchi.
- Kumpeleka Mahakamani Waziri wa Kilimo Ndg. Hussein Bashe na Bodi ya Sukari chini ya ibara ya 26 na 27 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kitendo cha kutoa idhini ya vibali vya kuagiza sukari kinyume cha sheria na kulisababishia taifa hili hasara kubwa.
- Kuyafikisha Mahakamani makampuni yote yaliyojihusisha na ungizaji wa sukari nchini kinyume cha sheria.
===
Pia soma:
Wewe mwenyewe hutoweza kuandamanaTunachukua hatua gani sasa kumsupport Mpina?
Wakenya wameweza sisi sasa dah🙆♂️
Wapi@lejojoowapi kibatala?, wapi mwabukusi??, wapi madeleka? ni wakati sahihi wa kuonesh uzalendo wenu sasa!