Mpina kuwapeleka Mahakamani Waziri Bashe na Bodi ya Sukari kwa kutoa idhini ya vibali vya kuagiza sukari kinyume cha Sheria

Mpina kuwapeleka Mahakamani Waziri Bashe na Bodi ya Sukari kwa kutoa idhini ya vibali vya kuagiza sukari kinyume cha Sheria

nimnyamaizie mpotoshaji, mim? thubutu... :pedroP:

kwamba mpotoshaji alitaka maoni yake na waliyomtuma yazingatiwe kwenye hali ya dharura walio kwenye mfungo mtukufu watumie chumvi right?:pedroP:

kama kampuni alizopendelea zipewe tenda ya sukari ili apate 10% hazikupata fursa hiyo hana haja ya kua na hasira namna ile:pedroP:
A very stupid and silly boy
 
Luhuga Mpina ameyasema hayo katika Mkutano wake na Waandishi wa Habari uliofanyika jana tar 29 kuelekea 30, ikiwa ni mara ya kwanza kuzungumza baada ya kupewa adhabu ya kutohudhuria vikao 15 vya bunge.

Kusoma taarifa hiyo zaidi ingia kwenye link hii: Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina. Laamua kumfungia vikao 15

Akihitimisha taarifa yake Mpina alieza maadhimio yake kama ifuatavyo;

- Kupeleka malalamiko yake ya kuondolewa bungeni kwa uonevu na kutokutendewa haki na Spika wa Bunge Tulia Ackson kwenye vyombo vya sheria ili vikapime na kutoa haki kwa mujibu wa katiba ya Tanzania na sheria za nchi.

- Kumpeleka Mahakamani Waziri wa Kilimo Ndg. Hussein Bashe na Bodi ya Sukari chini ya ibara ya 26 na 27 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kitendo cha kutoa idhini ya vibali vya kuagiza sukari kinyume cha sheria na kulisababishia taifa hili hasara kubwa.

- Kuyafikisha Mahakamani makampuni yote yaliyojihusisha na ungizaji wa sukari nchini kinyume cha sheria.

===

Pia soma:

Ingekuwa Kenya ningeona amefanya jambo sahihi,ila kwa hizi mahakama zetu siziamini kabisa na wengi wanafanya kazi kwa ajili ya kundi fulani tu la watu
 
You are so stupid on top of that una kiherehere, mtu wa kuchonganisha watu wewe na mmbea sana, jambo hulisemi kama lilivyo, unazidisha kuliko uhalisia, i wrote kosa la Mpina, ni kuongea na waandishi wa habari na kuwapa taarifa ya ripoti kwa umma, wakati asingetakiwa kwani ripoti alishampa Spika, wewe unaandika tofauti eti kapotosha bunge na serikali, wakati hilo sio kosa lake..!! It seems wewe mpuuzi na umelelewa kipuuzi puuzi, so stupid
lengo ni nini sasa mpaka akafabya hivyo?

kwamba spika alimnyima fursa au spika hakua na uwezo, au kwa vile spika ni mwanamke, au spoka hajui kanuni za bunge.

kwanini umuhukumu spika kwa vyombo vya habari? kwanini umuhukumu waziri wa kilimo kwa vyombo vya habari? ndivyo kanuni zinavyotaka?

analalamika nini sasa kwamba hukupewa bafasi, wakati yeye alidharau kiti? hiyo ni useles kabisa

hata hivyo,
tuliza, ball, tuliza mihemko acha kufanya nazoezi ya kuanza kuporomosha matusi na kutukana gentleman :pedroP:
 
Hakuna mtu anayeweza Kujiamini Namna hiyo kukubali kupoteza vikao 15 na hata Kupoteza Heshima kwa ajili ya Kutetea Kitu cha Uongo..

Sitaki kuamini Hivyo..
Japo inaweza Kuwa kweli au uongo
Uzuri ni kwamba Mpina ana hoja zake ambazo anaziweka wazi tangu bungeni na sasa amezitoa kwenda mahakamani.
Pia bunge kupitia kamati wana hoja zilizomtia hatiani Mpina, siyo siri.
Kwa hiyo, kwetu sisi tunatakiwa tujadiliane hizo hoja kwa mapana ili tujue kweli ni ipi.
Tukiwa watu wenye akili, siyo lazima tukubaliane na Mpina, bunge au ikifika mahakamani. Tunachotakiwa ni kutumia akili zetu kujua kweli ni ipi na upuuzi ni upi (kati ya Mpina, bunge na hata ikiwa mahakama itafikiwa).
 
Niwakumbushe kwa sasa ndio Bunge liko kwenye vikao vya kutunga sheria kuruhusu bodi ya Sukari kununua Sukari. In any way lazima mtu aje aende jela kwa ufisadi huu
 
mtasema yote,
na mahakama itawaumbua kirahisi mno 🐒

hiyo jeuri na kiburi inakwenda kwisha vizuri sana panapostahili kwakujipeleka mwenyewe,

hii ndio inaitwa ujuaji mwingi Mbele kiza sasa 🤣
Chawa usiwe na Faida mfumo haukujui wala hakutambui ukiendelea kuropoka ovyo tutakushughulikia
 
lengo ni nini sasa mpaka akafabya hivyo?

kwamba spika alimnyima fursa au spika hakua na uwezo, au kwa vile spika ni mwanamke, au spoka hajui kanuni za bunge.

kwanini umuhukumu spika kwa vyombo vya habari? kwanini umuhukumu waziri wa kilimo kwa vyombo vya habari? ndivyo kanuni zinavyotaka?

analalamika nini sasa kwamba hukupewa bafasi, wakati yeye alidharau kiti? hiyo ni useles kabisa

hata hivyo,
tuliza, ball, tuliza mihemko acha kufanya nazoezi ya kuanza kuporomosha matusi na kutukana gentleman :pedroP:
Tafuta kazi ufanye uchawa sio kazi mzee naona unahangaika sana baada ya kuona raia wanataka kuharibu kazi Yako ya uchawa
 
MAHAKAMA YA NCHI GANI KWA MFANO.Hakimu ,Jaji yupi na wa nchi gani huyu anayelipwa mshahara na serikali ya CCM au mwingine.Sioni ikienda
 
Hapo inavutwa simu kutoka mamlaka kutoka juu kwenda kwa jaji anayesimamia kesi anapewa maelekezo suala linaishia hapo
 
Luhuga Mpina ameyasema hayo katika Mkutano wake na Waandishi wa Habari uliofanyika jana tar 29 kuelekea 30, ikiwa ni mara ya kwanza kuzungumza baada ya kupewa adhabu ya kutohudhuria vikao 15 vya bunge.

Kusoma taarifa hiyo zaidi ingia kwenye link hii: Bunge lajadili juu ya adhabu ya Mbunge Luhaga Mpina. Laamua kumfungia vikao 15

Akihitimisha taarifa yake Mpina alieza maadhimio yake kama ifuatavyo;

- Kupeleka malalamiko yake ya kuondolewa bungeni kwa uonevu na kutokutendewa haki na Spika wa Bunge Tulia Ackson kwenye vyombo vya sheria ili vikapime na kutoa haki kwa mujibu wa katiba ya Tanzania na sheria za nchi.

- Kumpeleka Mahakamani Waziri wa Kilimo Ndg. Hussein Bashe na Bodi ya Sukari chini ya ibara ya 26 na 27 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kitendo cha kutoa idhini ya vibali vya kuagiza sukari kinyume cha sheria na kulisababishia taifa hili hasara kubwa.

- Kuyafikisha Mahakamani makampuni yote yaliyojihusisha na ungizaji wa sukari nchini kinyume cha sheria.

===

Pia soma:

Hapo amechukua maamuzi sahihi kabisa.
 
Back
Top Bottom