Iron SMTZ
Member
- May 10, 2019
- 77
- 232
Inavyoonekana hujamsikiliza Mpina kwenye taarifa yake, anadai kuhukumiwa Kwa vifungu vya kanuni za bunge au Sheria ambazo kimsingi hazipo au haziapply kwenye tafsiri ya msingi ya kosa lake la kumdharau speaker/kupoka mamlaka ya speaker na hadhi ya bunge. Suala la kuwasilisha nyaraka za ushahidi wake Kwa speaker na wakati huo yeye kufanya press release kwa vyombo vya habari ya ushahidi huo huo Kwa maelezo yake yalipaswa kufanyiwa tathmini na tafasiri ya kisheria na kikanuni kama amefanya kosa na siyo kwa hisia. Mimi nadhani Kwa taarifa yake Kwa Sasa si busara kumhukumu bali vyombo na mamlaka husika za serikali na bunge kuingia kazini kupitia tafasiri za kikanuni za bungez Sheria na katiba ya nchi ili mamlaka hizo kuja na majibu ya kiupembuzi yakinifu ili kuondoa hisia za Mpina kuonewa kama mwakilishi na mtanzania anayelindwa na haki za raia wa nchi hii.Acha kuwa mpumbavu wewe kijana mdogo
Suala la Mpina bungeni sio kuwa alipotosha bunge au kusema uongo kwenye ripoti yake etc, kosa lake lilikuwa kapeleka ripoti yake vizuri tu bungeni kwa Spika, sasa alivyoikabidhi, alikosea hata kabla ripoti haijapitiwa na spika au bunge yeye Mpina siku hiyo hiyo akaita waandishi wa habari na kuitoa kwa umma..!! Yaani alimdharau Spika. Hapa ndio alikosea, ila hakupotosha bunge au serikali au ripoti yake kwamba ni ya uongo, sio hivyo, yeye kama Mpina aliadhibiwa kwa kulidharau bunge na Spika kwa kutoa ripoti kwa umma wakati kampa Spika siku hiyo hiyo.
Sijui kama umeelewa kosa la Mpina, naona wewe mtoto mdogo unaropoka ropoka hovyo humu, acha kuwa mpuuzi zaidi, it seems huna akili and still unazidi kuwa mpuuzi..!!
