BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Wataje mkuu!wataje!Unawajua wenye ACT wazalendo lakini?
Umekunywa dawa zako leo?Nasikitika sana kuona Watanzania wanavyo chezeshwa move na wao kuingia wazima wazima.
Mpina ni project ya Samia na hii yote ni kutengeneza move kwa International Organizations waone kwamba kuna Democrasia ya kwelu.
Hii kwa sasa hamtaielewa kwa akili zenu fupi na mtakuja kuelewa baadae sana huko mbele ya safari.
Plan ilikuwa aende CHAUMA ila ikaonekana kule hakuna mvuto so aense ACT ili ku attract watu wakapige kura.
Gwajima kuna uwezekano akatua CHAUMA na kugombea uraisi, hayo yote ni move tu.
Nachelea kusema hata swala la Polepole huenda ni Move inatengenezwa.
Mpina ni project ya Samia ilio andaliwa kwa akili kubwa sana na hivyo kufanya wajinga wengi wa hili Taifa wasing'amue chochote kile.
Hakuna Cha project Wala move yoyote...hizo mambo zipo na ilikuwa nilazima zihapen for some reason .Nasikitika sana kuona Watanzania wanavyo chezeshwa move na wao kuingia wazima wazima.
Mpina ni project ya Samia na hii yote ni kutengeneza move kwa International Organizations waone kwamba kuna Democrasia ya kwelu.
Hii kwa sasa hamtaielewa kwa akili zenu fupi na mtakuja kuelewa baadae sana huko mbele ya safari.
Plan ilikuwa aende CHAUMA ila ikaonekana kule hakuna mvuto so aense ACT ili ku attract watu wakapige kura.
Gwajima kuna uwezekano akatua CHAUMA na kugombea uraisi, hayo yote ni move tu.
Nachelea kusema hata swala la Polepole huenda ni Move inatengenezwa.
Mpina ni project ya Samia ilio andaliwa kwa akili kubwa sana na hivyo kufanya wajinga wengi wa hili Taifa wasing'amue chochote kile.
Aongelee reforms kivipi wakati hiyo ni Agenda ya CDM! Nayeye ni CCM!I see! Maamuzi ya Mpina kwenda ACT hata mm yamenipa mwanga kuwa hawa jamaa wamemtuma.
Huyu Polepole mm nishamstukia muda sana, na kuna nyuzi zangu humu kama mbili nikihoji kwann Polepole haongelei reforms badala yake analalamikia mchakato wa uteuzi wa mgombea urais ndani ya ccm?
Kanisa moja takatifu katoliki la mitume.Unawajua wenye ACT wazalendo lakini?
Haihitaji akili nyiiingi kutambua kwamba hawa wanaohama kwenda upinzani ama kurudi ccm wote ni wachumia tumbo na waroho wa madarakaNasikitika sana kuona Watanzania wanavyo chezeshwa move na wao kuingia wazima wazima.
Mpina ni project ya Samia na hii yote ni kutengeneza move kwa International Organizations waone kwamba kuna Democrasia ya kwelu.
Hii kwa sasa hamtaielewa kwa akili zenu fupi na mtakuja kuelewa baadae sana huko mbele ya safari.
Plan ilikuwa aende CHAUMMA ila ikaonekana kule hakuna mvuto so aense ACT ili ku attract watu wakapige kura.
Gwajima kuna uwezekano akatua CHAUMMA na kugombea uraisi, hayo yote ni move tu.
Nachelea kusema hata swala la Polepole huenda ni Move inatengenezwa.
Mpina ni project ya Samia ilio andaliwa kwa akili kubwa sana na hivyo kufanya wajinga wengi wa hili Taifa wasing'amue chochote kile.
Chadema nyie hamjitambui, kipindi anakosana na samia hamkusema ni project ya Samia ila sasa hv kisa amehamia act ndo mnamuona n project 😂CCM wamechanganyikiwa.
Mpina kweli kama project ila Polepole na gwajiboi sio, hao ni waporipori tu walioamua kukichafua baada ya kuona future yao kisiasa sio nzuri sana na yenye uhakika.Nasikitika sana kuona Watanzania wanavyo chezeshwa move na wao kuingia wazima wazima.