Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Nimewaza tu kua no reforms no election imeleta mshtuko mkubwa sana ...hivyo Kete iliosukumwa ndio hii kwamba wewe nenda kule tuko tiyar kurisk kura za wasukuma ila tutafanyafanya mambo tutashinda tu hata kwa Bao la mkono, kwahio kule Mpina hawez kuanza kuropoka no reforms no election, kule wao wamesema hawagomi, na kama kawaida kura nyingi kias za act zinamsaidia zito na chama chake kuendelea kupiga hela za ruzuku, na pia act Iko kimkakati...hivyo kama Mpina na yeye atasema no reforms no election ningeamin kweli Mpina Yuko na wananchi ..kwaio diversion hapa watu watampigia kura ila ndio wanaohesabu na kutangaza ni watu wa ccm kwaio hakuna maana, na hii pia wameitumia ili watu wajitkeze kwa wingi mana itawasaidia kimataifa waonekane uchaguzi watu wengi wamejitokeza kumbe ni mbinu kabambe imefanyika...ndio mana wamejarib Sana kumsumbua Lissu na kumshawishi lakin wapi, mana Lissu ni kipenzi kikubwa Cha watanzania wapenda Haki na utawala Bora hivyo kwa yeye anayofanyiwa na kutopata fursa ya kugombea Urais basi watu wengi sana hawatapiga kura , unaweza kua uchaguzi ambao ambao watajitokeza kupiga kura ni wachache sana sababu ya yanayoendelea ...ngoja tuone...
NB: hata huyu polepole nahisi ni Kete ila ngoja nisubirie atakachokisema leo kama Kuna kitu atakisema tu ntajua ni Kete ama ni kweli na yeye anataka no reforms no election ila kupitia chama chake pendwa 😂😂😂
Hizi pombe bwana nilikua nawaza tu na kuwazua
NB: hata huyu polepole nahisi ni Kete ila ngoja nisubirie atakachokisema leo kama Kuna kitu atakisema tu ntajua ni Kete ama ni kweli na yeye anataka no reforms no election ila kupitia chama chake pendwa 😂😂😂
Hizi pombe bwana nilikua nawaza tu na kuwazua