Ngurukia
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 6,090
- 22,803
CCMUnawajua wenye ACT wazalendo lakini?
CCMUnawajua wenye ACT wazalendo lakini?
Pia saa hizi wangekuwa wananyea debe, kama huyo Polepole angeshapewa kesi ya uhaini na kuvuliwa uanachama.Sio Polepole wala mpina wote ni project za chura kiziwa...wangelikuwa wako really kw hayo waliofanya ...basi wangeungana na Watanganyika kudai Reforms.
Hufai kuwa mchunguziI see! Maamuzi ya Mpina kwenda ACT hata mm yamenipa mwanga kuwa hawa jamaa wamemtuma.
Huyu Polepole mm nishamstukia muda sana, na kuna nyuzi zangu humu kama mbili nikihoji kwann Polepole haongelei reforms badala yake analalamikia mchakato wa uteuzi wa mgombea urais ndani ya ccm?
Mpina ana kura za wasukuma na kanda ya ziwa ,chaumma project kwishney hukoUsema kweli , mpina alikuwa hana uwezo wa kupingana na Samia bila kupangwa na Samia mwenyewe. Mpina ali chaumma kwishneywahi kuja Sauti ya watanzania na vihoja vyake vya kujifanya mpizani ndani ya ccm, akaulizwa maswali magumu akakimbia mpaka leo hajawahi rudi tena.
Aliesema chadema ilimtegemea Mpina ni nani?Michadema imeshachanganyikiwa baada ya kutoswa na Mpina na Sasa, kama kawaida yao, imegeukia uzushi na fitina.......nyambafu zao.
sio leo wala keshoI agree..Watanzania mjitambuee aiseee
Huo ndio ukweliNaunga mkono hoja Mpina na gwajima wote ni project za mfumo.
Hata Polepole ni project ya mfumo kumuamsha mkubwa ajaribu kuweka mambo sawa huku ground watu hawaelewi moja wala mbili wanaona kutokuwajibika. Ufisadi. Undugunization.
Mpinzani wa kweli ni lissu anayepigania reforms maana panahitajika reforms kubwa sana ili hata ile dira ya maendeleo ifikiwe
Nasikitika sana kuona Watanzania wanavyo chezeshwa move na wao kuingia wazima wazima.
Mpina ni project ya Samia na hii yote ni kutengeneza move kwa International Organizations waone kwamba kuna Democrasia ya kwelu.
Hii kwa sasa hamtaielewa kwa akili zenu fupi na mtakuja kuelewa baadae sana huko mbele ya safari.
Plan ilikuwa aende CHAUMMA ila ikaonekana kule hakuna mvuto so aense ACT ili ku attract watu wakapige kura.
Gwajima kuna uwezekano akatua CHAUMMA na kugombea uraisi, hayo yote ni move tu.
Nachelea kusema hata swala la Polepole huenda ni Move inatengenezwa.
Mpina ni project ya Samia ilio andaliwa kwa akili kubwa sana na hivyo kufanya wajinga wengi wa hili Taifa wasing'amue chochote kile.
Reasoning Mkuu. Wengi wana emotion.Iko hivyo kwa 100% shida Wabongi wanashindwa kulitambua hilo, huu ni mchezo unachezwa
Sio CDM wapumbavu. Jamaa anasema hizo ni plan. Yaani tatizo kila siku mnajazwa na mnaingia ktk mfumo. Tafakari hoja yake. Ni suala la muda tuChadema kuna wapumbavu wengi mno, Mpina angekuja chadema wangeporomosha uzi za kumsifia 😂
Niliwaambia siku nyingi mpina ni project kamba ilivyokua Shibuda.Nasikitika sana kuona Watanzania wanavyo chezeshwa move na wao kuingia wazima wazima.
Mpina ni project ya Samia na hii yote ni kutengeneza move kwa International Organizations waone kwamba kuna Democrasia ya kwelu.
Hii kwa sasa hamtaielewa kwa akili zenu fupi na mtakuja kuelewa baadae sana huko mbele ya safari.
Plan ilikuwa aende CHAUMMA ila ikaonekana kule hakuna mvuto so aense ACT ili ku attract watu wakapige kura.
Gwajima kuna uwezekano akatua CHAUMMA na kugombea uraisi, hayo yote ni move tu.
Nachelea kusema hata swala la Polepole huenda ni Move inatengenezwa.
Mpina ni project ya Samia ilio andaliwa kwa akili kubwa sana na hivyo kufanya wajinga wengi wa hili Taifa wasing'amue chochote kile.
The tell....Time will tell
Mpina na samia hawaivi pamoja.Yule Kamishna wa polisi ndio project ya ccmNasikitika sana kuona Watanzania wanavyo chezeshwa move na wao kuingia wazima wazima.
Mpina ni project ya Samia na hii yote ni kutengeneza move kwa International Organizations waone kwamba kuna Democrasia ya kwelu.
Hii kwa sasa hamtaielewa kwa akili zenu fupi na mtakuja kuelewa baadae sana huko mbele ya safari.
Plan ilikuwa aende CHAUMMA ila ikaonekana kule hakuna mvuto so aense ACT ili ku attract watu wakapige kura.
Gwajima kuna uwezekano akatua CHAUMMA na kugombea uraisi, hayo yote ni move tu.
Nachelea kusema hata swala la Polepole huenda ni Move inatengenezwa.
Mpina ni project ya Samia ilio andaliwa kwa akili kubwa sana na hivyo kufanya wajinga wengi wa hili Taifa wasing'amue chochote kile.
100%Nasikitika sana kuona Watanzania wanavyo chezeshwa move na wao kuingia wazima wazima.
Mpina ni project ya Samia na hii yote ni kutengeneza move kwa International Organizations waone kwamba kuna Democrasia ya kwelu.
Hii kwa sasa hamtaielewa kwa akili zenu fupi na mtakuja kuelewa baadae sana huko mbele ya safari.
Plan ilikuwa aende CHAUMMA ila ikaonekana kule hakuna mvuto so aense ACT ili ku attract watu wakapige kura.
Gwajima kuna uwezekano akatua CHAUMMA na kugombea uraisi, hayo yote ni move tu.
Nachelea kusema hata swala la Polepole huenda ni Move inatengenezwa.
Mpina ni project ya Samia ilio andaliwa kwa akili kubwa sana na hivyo kufanya wajinga wengi wa hili Taifa wasing'amue chochote kile.
Free Tundu Lissu from fake cases.Chadema, mtakufa na kijiba cha roho