Nasikitika sana kuona Watanzania wanavyo chezeshwa move na wao kuingia wazima wazima.
Mpina ni project ya Samia na hii yote ni kutengeneza move kwa International Organizations waone kwamba kuna Democrasia ya kwelu.
Hii kwa sasa hamtaielewa kwa akili zenu fupi na mtakuja kuelewa baadae sana huko mbele ya safari.
Plan ilikuwa aende CHAUMMA ila ikaonekana kule hakuna mvuto so aense ACT ili ku attract watu wakapige kura.
Gwajima kuna uwezekano akatua CHAUMMA na kugombea uraisi, hayo yote ni move tu.
Nachelea kusema hata swala la Polepole huenda ni Move inatengenezwa.
Mpina ni project ya Samia ilio andaliwa kwa akili kubwa sana na hivyo kufanya wajinga wengi wa hili Taifa wasing'amue chochote kile.