GE2025 Mpina kwenda ACT Wazalendo ni Plan ya Samia, hii unahitaji kuwa na extra akili kujua hii move. Mpina ni project ya Samia

GE2025 Mpina kwenda ACT Wazalendo ni Plan ya Samia, hii unahitaji kuwa na extra akili kujua hii move. Mpina ni project ya Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Oktoba 2025 Hakuna UCHAFUZI, tutafanya juu chini kuuzuia usifanyike
noReformsNoElection.PNG
 
Mpina kweli kama project ila Polepole na gwajiboi sio, hao ni waporipori tu walioamua kukichafua baada ya kuona future yao kisiasa sio nzuri sana na yenye uhakika.
Time itaongea
 
Its Obvious, Mpina ame compromise kwa samia na kuamua kumsaidia kutengeneza Democrasia fake ili kubariki Uchaguzi feki wa October.
Iko hivyo kwa 100% shida Wabongi wanashindwa kulitambua hilo, huu ni mchezo unachezwa
 
Hakina projekiti ya namna hiyo ogopa matapeli
 
I see! Maamuzi ya Mpina kwenda ACT hata mm yamenipa mwanga kuwa hawa jamaa wamemtuma.


Huyu Polepole mm nishamstukia muda sana, na kuna nyuzi zangu humu kama mbili nikihoji kwann Polepole haongelei reforms badala yake analalamikia mchakato wa uteuzi wa mgombea urais ndani ya ccm?
Hao wote ni project na Watarudi CCM watasafishwa na Samia na watapewa hata nafasi za Kugombea. Muda huwa ni mwalimu mzuri sana.
 
una ujinga kias. Kwan hawa ambao wako really wameanza kudai hzo reforms lini? wameingia kwenye uchaguzi mara ngap bila hzo reforms?
Mkuu wengine humu tulikuwa tunasema kushiriki kupiga kura kwa aina ya uchaguzi wetu huu Tz ni kupoteza muda tu, hiyo toka zamani ila jamaa hawa hawa walikuwa wanatetea na kung'ang'ania kuendelea kushiriki uchaguzi ila sasa ndio wanajifanya wamecharuka na hiyo no reform no election utafikiri wamekuja juzi bongo.
 
Hao unaosema sio project siku wakihamia vyama vingine bado mtakuja kulialia kuwa ni project šŸ˜‚

Chadema akili hawana, mtu akiwaunga mkono wanamuona huyo ni mwenzao, sasa akihamia chama kingine badala ya chadema ndo wanashtuka šŸ˜‚
Wewe naye kila hoja lazima uwahusishe chadema, utafikiri wanakuuzia pumzi.
 
Polepole, mpina, na Gwajima, hutawasikia wakiongelea reforms za uchaguzi, wao wanaangalia maslahi yao tu.

Chadema wameamua hawashiriki uchaguzi kwasababu ya kudai mabadliko ya sheria za uchaguzi, lakini kutwa wako kuongelea chaguzi za CCM, na kusapoti watu kama Gwajima na Polepole ambao hawazungumzi hoja zozote za Chadema, ajenda yao si mda itakuwa mfu wakati ndio ilitakiwa iwe ya moto sana wakati huu.
 
Nasikitika sana kuona Watanzania wanavyo chezeshwa move na wao kuingia wazima wazima.

Mpina ni project ya Samia na hii yote ni kutengeneza move kwa International Organizations waone kwamba kuna Democrasia ya kwelu.

Hii kwa sasa hamtaielewa kwa akili zenu fupi na mtakuja kuelewa baadae sana huko mbele ya safari.

Plan ilikuwa aende CHAUMMA ila ikaonekana kule hakuna mvuto so aense ACT ili ku attract watu wakapige kura.

Gwajima kuna uwezekano akatua CHAUMMA na kugombea uraisi, hayo yote ni move tu.

Nachelea kusema hata swala la Polepole huenda ni Move inatengenezwa.

Mpina ni project ya Samia ilio andaliwa kwa akili kubwa sana na hivyo kufanya wajinga wengi wa hili Taifa wasing'amue chochote kile.
Tutajua nani mjinga baada ya matokeo.
 
I see! Maamuzi ya Mpina kwenda ACT hata mm yamenipa mwanga kuwa hawa jamaa wamemtuma.


Huyu Polepole mm nishamstukia muda sana, na kuna nyuzi zangu humu kama mbili nikihoji kwann Polepole haongelei reforms badala yake analalamikia mchakato wa uteuzi wa mgombea urais ndani ya ccm?
Reform kazungumzia za ndani ya chama chake,we wataka reform zipi sasa.
 
Kataa wahuni wameanza kusukuma kete.
Huyu mama kwa jinsi alivyokataliwa na watanzania hata bila hizo reform anapigwa chini vizuri tu.
Wao waliwekeza zaidi kupambana na CHADEMA na wakawa na uhakika wa kupeta maana CDM walidai hawatashiriki uchaguzi na mpiga kelele Lissu wamempa kesi ya mchongo. Hapo ccm walikuwa wanaserereka tu.
Mwaka huu hawatoboi!
Kataa wahuni wamejipanga
 
Back
Top Bottom