GE2025 Mpina kwenda ACT Wazalendo ni Plan ya Samia, hii unahitaji kuwa na extra akili kujua hii move. Mpina ni project ya Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ukikutana na Chama chochote cha Upinzani ama mwanasiasa yeeyote wa upinzani ambaye ANAKUBALI kwenda kwenye uchaguzi katika mazingira haya kupambana na CCM ati kutaka kuishinda na kuchukua dola - basi elewa UMEPIGWA.. FAMBA hilooo, Sifuri yaani hamna kitu humo ndugu.

Bila REFORMS ni hivi CCM watakufanyia chochote wanachotaka wao na huna popote pa kuwapeleka kushitaki.
 
Nasikitika sana kuona Watanzania wanavyo chezeshwa move na wao kuingia wazima wazima.

Mpina ni project ya Samia na hii yote ni kutengeneza move kwa International Organizations waone kwamba kuna Democrasia ya kwelu.

Hii kwa sasa hamtaielewa kwa akili zenu fupi na mtakuja kuelewa baadae sana huko mbele ya safari.

Plan ilikuwa aende CHAUMMA ila ikaonekana kule hakuna mvuto so aense ACT ili ku attract watu wakapige kura.

Gwajima kuna uwezekano akatua CHAUMMA na kugombea uraisi, hayo yote ni move tu.

Nachelea kusema hata swala la Polepole huenda ni Move inatengenezwa.

Mpina ni project ya Samia ilio andaliwa kwa akili kubwa sana na hivyo kufanya wajinga wengi wa hili Taifa wasing'amue chochote kile.
Toa neno akil kubwa , weny akil kubwa wanajenga misingi imara kwa nchi zao maana hapo ndipo generation zao zitakwepo
 
Nasikitika sana kuona Watanzania wanavyo chezeshwa move na wao kuingia wazima wazima.

Mpina ni project ya Samia na hii yote ni kutengeneza move kwa International Organizations waone kwamba kuna Democrasia ya kwelu.

Hii kwa sasa hamtaielewa kwa akili zenu fupi na mtakuja kuelewa baadae sana huko mbele ya safari.

Plan ilikuwa aende CHAUMMA ila ikaonekana kule hakuna mvuto so aense ACT ili ku attract watu wakapige kura.

Gwajima kuna uwezekano akatua CHAUMMA na kugombea uraisi, hayo yote ni move tu.

Nachelea kusema hata swala la Polepole huenda ni Move inatengenezwa.

Mpina ni project ya Samia ilio andaliwa kwa akili kubwa sana na hivyo kufanya wajinga wengi wa hili Taifa wasing'amue chochote kile.
ngoja tuone
 
Kiukwel hizo ni ramli za kijinga na chonganishi yaan mtu asipokua CDM sio mpigania haki na maendeleo kwa wananchi? ni upumbavu tu. Muache kujimilikisha harakati!!! Let other parties thrive.
Unaishindaj ccmu kwa mazingira haya ? Hv unahitaj nn kuelewa?
 
Nasikitika sana kuona Watanzania wanavyo chezeshwa move na wao kuingia wazima wazima.

Mpina ni project ya Samia na hii yote ni kutengeneza move kwa International Organizations waone kwamba kuna Democrasia ya kwelu.

Hii kwa sasa hamtaielewa kwa akili zenu fupi na mtakuja kuelewa baadae sana huko mbele ya safari.

Plan ilikuwa aende CHAUMMA ila ikaonekana kule hakuna mvuto so aense ACT ili ku attract watu wakapige kura.

Gwajima kuna uwezekano akatua CHAUMMA na kugombea uraisi, hayo yote ni move tu.

Nachelea kusema hata swala la Polepole huenda ni Move inatengenezwa.

Mpina ni project ya Samia ilio andaliwa kwa akili kubwa sana na hivyo kufanya wajinga wengi wa hili Taifa wasing'amue chochote kile.
Kuna siku mtasema hata No Reforms No Election ni project ya Mhe. Rais ili apite kirahisi. Tatizo lenu ni kutaka kila mtu afikiri sawa wakati hata mawe yanatofautiana size. NEC iliwahi kuwapa wapinzani zaidi ya wabunge 100 leo tuna INEC mnataka kila mtu asusie uchaguzi? Si sawa..

Kushiriki uchaguzi hata usiposhinda kwa asilimia unazotaka bado utatumia mikutano ya hadhara kutoa elimu na kuamsha raia watakaokuelewa. Kwa mfano, mwaka 2015-2020 wapo wapiga kura wa leo walikuwa watoto. Hawajasikia sera zako ni muhimu kujijenga.
.#OktobaTunaTiki
 
Unaishindaj ccmu kwa mazingira haya ? Hv unahitaj nn kuelewa?
hilo umeligundua leo?mmeshiriki uchaguz mara ngap? Na strategy yenu feasibility yake ya kufanikiwa ni asilimia ngap? Mna literature review ya hio strategy yenu? Mimi nadhan kila upande uheshimiane juu ya strategy waliochagua
Unaishindaj ccmu kwa mazingira haya ? Hv unahitaj nn kuelewa?
 
Nasikitika sana kuona Watanzania wanavyo chezeshwa move na wao kuingia wazima wazima.

Mpina ni project ya Samia na hii yote ni kutengeneza move kwa International Organizations waone kwamba kuna Democrasia ya kwelu.

Hii kwa sasa hamtaielewa kwa akili zenu fupi na mtakuja kuelewa baadae sana huko mbele ya safari.

Plan ilikuwa aende CHAUMMA ila ikaonekana kule hakuna mvuto so aense ACT ili ku attract watu wakapige kura.

Gwajima kuna uwezekano akatua CHAUMMA na kugombea uraisi, hayo yote ni move tu.

Nachelea kusema hata swala la Polepole huenda ni Move inatengenezwa.

Mpina ni project ya Samia ilio andaliwa kwa akili kubwa sana na hivyo kufanya wajinga wengi wa hili Taifa wasing'amue chochote kile.
Katika siasa lolote linaweza kufanyika ili kupata alama za kisiasa.
Hata hivyo,ulimwengu tayari unajua Sheria na kanuni za uchaguzi zimekaa kiwizi wizi.
Kwa hiyo,hata akina Mpina apewe wabunge 100 na kura za urais asilimia 40,hakuna atakayeamini huo uchaguzi kuwa ulikuwa huru na haki.
 
Nasikitika sana kuona Watanzania wanavyo chezeshwa move na wao kuingia wazima wazima.

Mpina ni project ya Samia na hii yote ni kutengeneza move kwa International Organizations waone kwamba kuna Democrasia ya kwelu.

Hii kwa sasa hamtaielewa kwa akili zenu fupi na mtakuja kuelewa baadae sana huko mbele ya safari.

Plan ilikuwa aende CHAUMMA ila ikaonekana kule hakuna mvuto so aense ACT ili ku attract watu wakapige kura.

Gwajima kuna uwezekano akatua CHAUMMA na kugombea uraisi, hayo yote ni move tu.

Nachelea kusema hata swala la Polepole huenda ni Move inatengenezwa.

Mpina ni project ya Samia ilio andaliwa kwa akili kubwa sana na hivyo kufanya wajinga wengi wa hili Taifa wasing'amue chochote kile.
Yote ni maccm majizi
 
Mbona mlikuwa mnakesha kwa mapambio huyu mpuuzi mwenzenu Mpina?
 
Yaani wanaanda kuwapumbaza watu, kujifanya wanajua kila move ya watz.. Aliyopitia Mpina kwenye bunge yote ni maandalizi ya Samia? .... Liangalie jambo kwa urefu wake... Hizi ni cheap propaganda .... Wameona hawa ndio waliopo wanatafuta sababu... Kama vile kwa Polepole , ile barua ni feki...
 
Nasikitika sana kuona Watanzania wanavyo chezeshwa move na wao kuingia wazima wazima.

Mpina ni project ya Samia na hii yote ni kutengeneza move kwa International Organizations waone kwamba kuna Democrasia ya kwelu.

Hii kwa sasa hamtaielewa kwa akili zenu fupi na mtakuja kuelewa baadae sana huko mbele ya safari.

Plan ilikuwa aende CHAUMMA ila ikaonekana kule hakuna mvuto so aense ACT ili ku attract watu wakapige kura.

Gwajima kuna uwezekano akatua CHAUMMA na kugombea uraisi, hayo yote ni move tu.

Nachelea kusema hata swala la Polepole huenda ni Move inatengenezwa.

Mpina ni project ya Samia ilio andaliwa kwa akili kubwa sana na hivyo kufanya wajinga wengi wa hili Taifa wasing'amue chochote kile.
Hata Lissu kwenda ndani kwa uhaini ni project ili Chadema isishiriki Uchaguzi kwasababu Lissu ni project tangu enzi za Mzee Che Nkapa! Wenye akili watanielewa naongea nini!!!
 
Huwa nawashangaa chadema kuingia mikenge wa ccm
Lakini mimi pia nimewaza hivi hivi mbowe alikuwa kazini kwaajili ya ccm kwa miaka yote mwisho wake haujawa mzuri sana kwa hiyo inabidi kipatikane chama kingine mamluki na chadema ife kwa sababu ikiendelea kama ilivyo itakuwa hatari kwa ccm
 
Back
Top Bottom