PreGE2025 Mpina: Mbunge aliyechaguliwa na kuapa analeta vigelegele kwa wezi! Kwa kumwogopa nani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,618
Reaction score
9,611
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Mhe. Luhaga Mpina, amesema ana matumaini kuwa Bunge lijalo baada ya uchaguzi litakuwa chombo makini chenye hoja nzito, kitakachohoji mambo ya msingi kwa maslahi ya wananchi, badala ya kuwa jukwaa la lelemama.

Akihutubia wananchi wa Mwandu Itinje, Jimbo la Kisesa, Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu leo Juni 1, 2025, Mhe. Mpina amesema amekerwa na kuenea kwa vitendo vya ufisadi, wizi na rushwa, huku wahusika wakishangiliwa badala ya kuwajibishwa.

"Wananchi wanyonge wanahitaji huduma bora za kijamii. Wengi wanaishi maisha magumu, halafu watu wasio na uchungu na nchi wanabadhirifu mali za umma na kupongezana wao kwa wao. Hili haliwezi kuvumilika," amesema.

Ameongeza kuwa taifa haliwezi kuendelea ikiwa viongozi watabaki kuwa wasemaji wa mapambio au washiriki wa makongamano bila kuchukua hatua dhidi ya maovu.

"Hatuwezi kuwa viongozi wa kusimama na kuongea mapambio tu, hatuwezi kuwa wa makongamano tu, wakati fedha za wananchi zinaliwa. Mbunge aliyechaguliwa na kuapa analeta vigelegele kwa wezi! Kwa kumwogopa nani? Hatuhitaji kupongezana" amesisitiza Mpina kwa ukali.

View attachment 3353330
mpina strikes again
 
My MP
 
Hapo chini kamalizia na dongo la spika kwa kudanganya "wananchi watoa tuzo kwa Rais Samia kwa kazi iliyotukuka".

"Mbunge aliyechaguliwa na kuapa analeta vigelegele kwa wezi".

Machawa wa wezi Kina Luka wakija hapa wataharisha uharo kama bata.
 
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Mhe. Luhaga Mpina, amesema ana matumaini kuwa Bunge lijalo baada ya uchaguzi litakuwa chombo makini chenye hoja nzito, kitakachohoji mambo ya msingi kwa maslahi ya wananchi, badala ya kuwa jukwaa la lelemama.

Akihutubia wananchi wa Mwandu Itinje, Jimbo la Kisesa, Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu leo Juni 1, 2025, Mhe. Mpina amesema amekerwa na kuenea kwa vitendo vya ufisadi, wizi na rushwa, huku wahusika wakishangiliwa badala ya kuwajibishwa.

"Wananchi wanyonge wanahitaji huduma bora za kijamii. Wengi wanaishi maisha magumu, halafu watu wasio na uchungu na nchi wanabadhirifu mali za umma na kupongezana wao kwa wao. Hili haliwezi kuvumilika," amesema.

Ameongeza kuwa taifa haliwezi kuendelea ikiwa viongozi watabaki kuwa wasemaji wa mapambio au washiriki wa makongamano bila kuchukua hatua dhidi ya maovu.

"Hatuwezi kuwa viongozi wa kusimama na kuongea mapambio tu, hatuwezi kuwa wa makongamano tu, wakati fedha za wananchi zinaliwa. Mbunge aliyechaguliwa na kuapa analeta vigelegele kwa wezi! Kwa kumwogopa nani? Hatuhitaji kupongezana" amesisitiza Mpina kwa ukali.

View attachment 3353330
Ngoja wamzingire
 
Back
Top Bottom