Namcheka mpina kama mazuri vileChama cha ACT Wazalendo kimetangaza rasmi majina ya wagombea wa nafasi za Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Urais wa Zanzibar kupitia chama hicho, kufuatia kikao maalum cha Halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika tarehe 5 Agosti 2025 katika ukumbi wa Hakainde Hichilema.
Katika kikao hicho, Halmashauri Kuu ya Chama ilijadili na kupitisha mapendekezo ya wagombea watakaowakilisha @actwazalendo_official katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Wagombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majina mawili yamependekezwa kwa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo ni Aaron Kalikawe na Luhaga Mpina.
Wagombea hawa wawili watawasilishwa kwa Mkutano Mkuu wa Taifa wa chama kwa ajili ya kupigiwa kura na mmoja wao atachaguliwa kuwa mgombea rasmi wa urais kupitia ACT Wazalendo.
Ni kama wacheza mpira tuIla vyama vya upinzani vinayumba Sana. Mtu anajiunga Leo Kisha anapewa ugombea urais. Huu ni udhaifu mkubwa Sana.
Udhaifu Gani kwa nanfasi ambazo hawana uwakika nazo ndo mana wanawapa wengineIla vyama vya upinzani vinayumba Sana. Mtu anajiunga Leo Kisha anapewa ugombea urais. Huu ni udhaifu mkubwa Sana.
Watanzania huchagua mtu siyo ChamaIla vyama vya upinzani vinayumba Sana. Mtu anajiunga Leo Kisha anapewa ugombea urais. Huu ni udhaifu mkubwa Sana.
Kwa wanachofanyiwa cdm na dola si wanguwawa kama kuku kama ccm tu wao kwa wao wametifuana balaaaHii hatua nadhani CHADEMA waliipitia mwaka 2015! Sass ni zamu ya ACT Wazalendo! Nina imani kama CHADEMA wangeshiriki mwaka huu, Tundu Lissu ndiyo angekuwa man of the match, aka kiboko ya ccm na wagombea wake wote.
Kwa level ya siasa za Tanzania ni kawaida kwababu vyema havifuati ideology au falisafa ya chama ni njia yakupata ubinge na umaarufu wa siasa.Ila vyama vya upinzani vinayumba Sana. Mtu anajiunga Leo Kisha anapewa ugombea urais. Huu ni udhaifu mkubwa Sana.
Kumbe hakuna mwenye akili hivi so called vyama vya upinzani! Mpina, kweli utachaguliwa kuwa Rais? Kweli?TAARIFA KWA UMMA
Halmashauri Kuu ya ACT Wazalendo imepitisha Wagombea Urais wa Tanzania na Urais wa Zanzibar.
Urais wa Tanzania yamepitishwa majina mawili. Aaron Kalikawe na Luhaga Mpina.
Urais wa Zanzibar aliyepitishwa ni Othman Masoud Othman.