Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Naona Mpina kakubali kutumika kuuhalalisha uchaguzi feki
Uhuni tu wa Zitto na ccm.Chama cha ACT Wazalendo kimetangaza rasmi majina ya wagombea wa nafasi za Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Urais wa Zanzibar kupitia chama hicho, kufuatia kikao maalum cha Halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika tarehe 5 Agosti 2025 katika ukumbi wa Hakainde Hichilema.
Katika kikao hicho, Halmashauri Kuu ya Chama ilijadili na kupitisha mapendekezo ya wagombea watakaowakilisha Act Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Wagombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majina mawili yamependekezwa kwa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo ni Aaron Kalikawe na Luhaga Mpina.
Wagombea hawa wawili watawasilishwa kwa Mkutano Mkuu wa Taifa wa chama kwa ajili ya kupigiwa kura na mmoja wao atachaguliwa kuwa mgombea rasmi wa urais kupitia ACT Wazalendo.
View attachment 3433241
View attachment 3433242
Kumbe jamaa fala kiasi hiki?Naona Mpina kakubali kutumika kuuhalalisha uchaguzi feki
Zitto atakuwa kamuingiza Kingi.Uhuni tu wa Zitto na ccm.
Mpina kumbe ni Zoba kiasi hiki?
Ni mwendelezo ule ule tu wa NCCR na CHADEMAIla vyama vya upinzani vinayumba Sana. Mtu anajiunga Leo Kisha anapewa ugombea urais. Huu ni udhaifu mkubwa Sana.
Sasa kama mfadhiri amewataka wafanye hivyo, maana hata Mimi nashangaa hizo sera za Chama na itikadi zake kajifunza lini. Mpina naye kumbe hovyo tu. Hicho Chama nacho hovyo tu, waache waendelee kusindikiza, Chama sindikiziIla vyama vya upinzani vinayumba Sana. Mtu anajiunga Leo Kisha anapewa ugombea urais. Huu ni udhaifu mkubwa Sana.
Project za CCM hizo kuwapumbaza wajinga wa TanzaniaIla vyama vya upinzani vinayumba Sana. Mtu anajiunga Leo Kisha anapewa ugombea urais. Huu ni udhaifu mkubwa Sana.
Yale yale ya chadema....upinzani hawako serious kabisaIla vyama vya upinzani vinayumba Sana. Mtu anajiunga Leo Kisha anapewa ugombea urais. Huu ni udhaifu mkubwa Sana.
Mpina kwisha habari yake,nibora angeligombea ubunge angeliweza kutetea kiti chake kwa Urais ni maji marefu.View attachment 3433368
Chama cha ACT Wazalendo kimetangaza rasmi majina ya wagombea wa nafasi za Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Urais wa Zanzibar kupitia chama hicho, kufuatia kikao maalum cha Halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika tarehe 5 Agosti 2025 katika ukumbi wa Hakainde Hichilema.
Katika kikao hicho, Halmashauri Kuu ya Chama ilijadili na kupitisha mapendekezo ya wagombea watakaowakilisha Act Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Wagombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majina mawili yamependekezwa kwa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo ni Aaron Kalikawe na Luhaga Mpina.
Wagombea hawa wawili watawasilishwa kwa Mkutano Mkuu wa Taifa wa chama kwa ajili ya kupigiwa kura na mmoja wao atachaguliwa kuwa mgombea rasmi wa urais kupitia ACT Wazalendo.
View attachment 3433241
View attachment 3433242
Udhaifu wao ni kushindwa kuandaa viongozi bali hutegemea makapo ya CCMUdhaifu Gani kwa nanfasi ambazo hawana uwakika nazo ndo mana wanawapa wengine
Mpanzu amekujaje humu??!Tatizo la Mpanzu ni wachezaji wanaomzunguka.