GE2025 Mpina na Kalikawe ni wagombea urais kupitia Act Wazalendo

GE2025 Mpina na Kalikawe ni wagombea urais kupitia Act Wazalendo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Watanzania huchagua mtu siyo Chama
Vyama vinachagua watu wa kugombea sio kwa sababu tu wanaweza kushinda. Vina angalia pia uwezo wao wa kuvutia kura. Hata kama hawatashinda kura watakazopigiwa zitakuwa na mchango mkubwa katika kupata ruzuku na wabunge wa viti maalum. Mpina nae atatumia platform hiyo kutoka kuwa mwanasiasa wa jimbo hadi wa kitaifa.

Amandla...
 
Mbowe,lipumba,na Zitto wameshakuwa vibaraka wa mafisadi. Saa hii wanajinufaisha wao kama wao na kila wanachokifanya ni maigizo ya kisiasa sio tena wazalendo.

Kwa yoyote anae wasapoti ajue tu anacheza na akili na muda wake.
 
ACT Wazalendo wanatafuta kura angalau zifike 5% wapate wabunge wengi wa viti maalumu.
 
Back
Top Bottom