BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
umeandika uonekane unautofauti.Watanzania hatupendi ukwel ila katika hili Bashe yupo sahihi sema bas tu alizingua kwenye baadhi ya utaratibu, hawa wafanyabiiashara wa sukari ni mashetani
Kama unakiri alizingua kwenye baadhi ya taratibu kwanini tena useme Bashe alikuwa sahihi?!Watanzania hatupendi ukwel ila katika hili Bashe yupo sahihi sema bas tu alizingua kwenye baadhi ya utaratibu, hawa wafanyabiiashara wa sukari ni mashetani
Kwa sababu Maria na Mange ndio wamezaliwa kwa kazi hio, si ndio?Kwahiyo unasema Mpina awe CHAWA?
Sijasikia Maria, Upinzani, Shangazi, sijui Mange wala nani kumpa sapoti Mpina au kupaza sauti kwa maslahi mapana ya wasio na vipaza sauti nchini hapa!
Ngoja izungumzwe URAIA PACHA sasa......, wazazi kuwekwa kwenye kona n.k, hutoamini hizo kelele zao
Ana trendi na Keybord worrior? Tehe tehe, eti ana trendisiyo kweli, ana trend kila mahali, every other post inamhusu yeye hivyo siyo kweli kwamba anapigania maiti, wananchi wako naye β¦
Hii inafanyika kwa sababu wanajua wanaongoza maiti, hakuna kungine kileUtoto tu unaendelea huko bungeni yaani kila mtu anaona ni coordinated attack.
Sikio la kufa, halina dawa
Ili muwe mnakaa nyuma ya keybord kumpigania? hatafanikiwa kamwe na anahatarisha unga wa watoto wake, bora akawapiganie Mbwa wa mtaaniMimi nakumbuka Mh Mpina alisema huu ni mwanzo tu, nasubiri ashushe nondo zaidi haijalishi ni wangapi wapo nyuma yake lakni ujumbe unafika