Nimesikitika sana na michango ya wabunge juu ya mpina ! Ndio nimeona umuhimu wa kuwa na wapinzani bungeni ! Kwanza hawajielekezi kwenye hoja ! Ni kama wametumwa au wameagizwa kwenda kumshambulia mpina ! Badala ya kujibu hoja wanapambana na mtu ! Nimeamini hatuna bunge kwa sasa ! Bunge la watu wazima ni kama la watoto ! Kichefu chefu na upuuzi huu tungekuwa na ujasiri au na hata robo ya mioyo ya wakenya kuanzia leo asubuhi kungekuwa na maandamano makubwa nje ya bunge kutetea hoja za mpina !! Upungufu wa sukari isiwe uchochoro wa kuvunja Sheria na kufanya upigaji !! Mpina nchi Iko nyuma yako ,! Na watanzania sio vichaa !! Wana kisesa mteteeni mbunge wenu !