matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Mpina yuko vzr, anafikirisha bunge.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umewahi kukaa na wakenya ukajua changamoto zao.Ardhi ipi unayozungumzia?
Hata Yesu kristo alisimama kutetea wanyonge ila wapumbavu kama wewe walitaka auawe tena kwa kutetea muharifu aachiwe huru. Hakuna jipya chini ya jua.Jaribu uone kilichomtoa kanga manyoya, Mpina ni mpumbavu sana
Umeandika ili uonekane umegundua Kuna Cha tofauti.umeandika uonekane unautofauti.
Ukweli mchungu.Mpina hana Back up laiti angezaliwa Kenya angekuwa na kundi la watu milion 1 nyuma yake hao ni active, Kwa Bongo Mpina yuko mwenyewe sana sana ana Keybord Worrior nyuma yake wengi sana kama milion 3 hivi.
Ushauri wangu kwa Mpina na watu wengine wenye kariba kama yake wasisumbuke, kutetea Maiti, ni bora wakae kimya au wapiganie ugali wa watoto wao ila sio kutetea wajinga wa hii nchi. Au basi akateta hata Tembo wasiuwawe anaweza pata thawabu kutoka kwa Mungu.
Kuwa mwanaharakati Tanzania ni ujinga bora kuwa mwana harakati wa kutetea mbwa wa mtaani na Paka ila sio kutetea Wabongo. huwa nawashangaaa sana wanao watetea wabongo nawashangaaa sana tena mno.
Bora kama inawezekana vuka mipaka kawatetee hata Wakenya au Waganda ila sio Wabomgo.
🤝something is better than nothing isitoshe ametimiza sehemu yake wengine watachukuwa alipoishia, wanasema rome wasn’t built in a day …
Huyo tapeli anapigania tumbo lake tuMpina hana Back up laiti angezaliwa Kenya angekuwa na kundi la watu milion 1 nyuma yake hao ni active, Kwa Bongo Mpina yuko mwenyewe sana sana ana Keybord Worrior nyuma yake wengi sana kama milion 3 hivi.
Ushauri wangu kwa Mpina na watu wengine wenye kariba kama yake wasisumbuke, kutetea Maiti, ni bora wakae kimya au wapiganie ugali wa watoto wao ila sio kutetea wajinga wa hii nchi. Au basi akateta hata Tembo wasiuwawe anaweza pata thawabu kutoka kwa Mungu.
Kuwa mwanaharakati Tanzania ni ujinga bora kuwa mwana harakati wa kutetea mbwa wa mtaani na Paka ila sio kutetea Wabongo. huwa nawashangaaa sana wanao watetea wabongo nawashangaaa sana tena mno.
Bora kama inawezekana vuka mipaka kawatetee hata Wakenya au Waganda ila sio Wabomgo.
Maiti ni hayo makkkalio yako makubwaMpina hana Back up laiti angezaliwa Kenya angekuwa na kundi la watu milion 1 nyuma yake hao ni active, Kwa Bongo Mpina yuko mwenyewe sana sana ana Keybord Worrior nyuma yake wengi sana kama milion 3 hivi.
Ushauri wangu kwa Mpina na watu wengine wenye kariba kama yake wasisumbuke, kutetea Maiti, ni bora wakae kimya au wapiganie ugali wa watoto wao ila sio kutetea wajinga wa hii nchi. Au basi akateta hata Tembo wasiuwawe anaweza pata thawabu kutoka kwa Mungu.
Kuwa mwanaharakati Tanzania ni ujinga bora kuwa mwana harakati wa kutetea mbwa wa mtaani na Paka ila sio kutetea Wabongo. huwa nawashangaaa sana wanao watetea wabongo nawashangaaa sana tena mno.
Bora kama inawezekana vuka mipaka kawatetee hata Wakenya au Waganda ila sio Wabomgo.
Akishavunjwa uti wa mgongo mtashindana kwa hashtagMimi nakumbuka Mh Mpina alisema huu ni mwanzo tu, nasubiri ashushe nondo zaidi haijalishi ni wangapi wapo nyuma yake lakni ujumbe unafika
Mganguzi Kashapewq hela ya kula hapo anataka kuwaandamisha watanzania ili aongezewe na kiwanja dodoma. Mpina sio mchoyo walahi500 billion inafanya kazi,
Uzuri kabla mpina hajarudi Bungeni wataleta mada ya mfumuko wa bei wenyewe
Mwisho wa ubaya ni Aibu
Mi nahisi ile sindano ya ndui itakuwa na shida, haiwezekani tukawa waoga hivi.Tanzania tumerogwa
Kwanza nani kamwambia tunataka kutetewa?Mpina hana Back up laiti angezaliwa Kenya angekuwa na kundi la watu milion 1 nyuma yake hao ni active, Kwa Bongo Mpina yuko mwenyewe sana sana ana Keybord Worrior nyuma yake wengi sana kama milion 3 hivi.
Ushauri wangu kwa Mpina na watu wengine wenye kariba kama yake wasisumbuke, kutetea Maiti, ni bora wakae kimya au wapiganie ugali wa watoto wao ila sio kutetea wajinga wa hii nchi. Au basi akateta hata Tembo wasiuwawe anaweza pata thawabu kutoka kwa Mungu.
Kuwa mwanaharakati Tanzania ni ujinga bora kuwa mwana harakati wa kutetea mbwa wa mtaani na Paka ila sio kutetea Wabongo. huwa nawashangaaa sana wanao watetea wabongo nawashangaaa sana tena mno.
Bora kama inawezekana vuka mipaka kawatetee hata Wakenya au Waganda ila sio Wabomgo.
Mapori bado yako mengi sanaUmewahi kukaa na wakenya ukajua changamoto zao.
Kenya ni nchi mdogo . Eneo kubwa ni Jangwa . Lakini ardhi yenye rutuba yote inashikiliwa na familia ya Kenyata na baadhi ya wakikuyu wachache na nyingine inashikiliwa na Wazungu. Wakenya wengi ni vibarua wasio na ardhi wala nyumba.
Tanzania mafano Kusini ardhi karibu yote ya Kulima Korisho ni mali ya watu wa kawaida kabisa . Ardhi ya kusini iliporwa na Wajerumani na kulima korosho ,pamba na katani lakini walipata upinzani mkubwa sana na kuibuka kwa vita ya majimaji. Baada ya vita ya maji maji wazungu wakajawa na hofu kubwa sana ya kupora ardhi ya Wangoni na wamatumbi.
Hata gesi ilitoka mtwara baada ya Jeshi kuingilia na kutumia nguvu kubwa sana. Lakini pia kutokana na kuwa CCM ni chama kikubwa chenye wasaliti wengi na madalali wa kugawa mali za umma hivyo wananchi wa kusini wakawa hawana umoja mpaka gesi ikaporwa.
Sasa fikiri zaidi ya miaka 100 iliyopita wamatumbi walipinga ardhi yao kuporwa na wao kuwa manamba ingekuaje kama leo wamachinga wakirudi kijijini wangekuta ni ardhi ya wazungu tu na wao ni vibarua tu kwenye mashamba hayo ya wazungu ambao wengi wanafuga manguruwe na kula kitimoto😂😂Bila shaka wangefanya vurugu na maandamano ya mara kwa mara.
Kwa sasa kuna wakulima wengi sana kwenye nchi hii wanaolima kwa ajili ya chakula cha kujikimu . Hawa wanakimbizana na mvua tu na hawajui chochote kuhusu umuhimu wa kuandamana na kupinga ufisadi. Hawa hata vijana wao wakiajiriwa wanawahamasisha kuwa waibe na kujilimbikizia mali. Ili wasije wakarudi kuwa wakulima . Yaani hawajui kuwa ardhi ni mali na kilimo ni biashara kubwa sana.
CCM inanufaishwa zaidi na hili kundi ambalo ni kubwa sana . Kundi ambalo mtaji wao ni mvua na ardhi tu . Hata kama uchumi wa nchi ukianguka kabisa hawajui chochote zaidi ya kumshukuru Rais kwa kuwalete mvua 😂😂😂.
Hawa wana ardhi za kurithi na kurithisha watoto wao .
lakini Pia ardhi ndiyo iliyowapa uhuru Wafufaji ambao walikua wanafuga kwenye mapori yanayomilikiilwa na serikali kwa miaka mingi . Leo mapori yale yameuzwa kwa wageni na wanatumia majeshi yanayolipwa kwa kodi ya wananchi kuwalinda wezi wa wanyama na kuwafukuza wanyama wanaoitwa ng'ombe na kufuga mbweha na fisi ambao hawafai kuchinja na kuuzwa kwenye bucha kama chakula cha wananchi .
Sasa hawa wafugaji na wakulima siku watakapokosa kabisa sehemu ya kulima na kufuga hapo ndipo Valangati la umma litakapoonekana na Watawala watakapokimbilia Kwanye majumba yao huko Dubai na kuiachia nchi ya Tanganyika.
Tapeli ni weweHuyo tapeli anapigania tumbo lake tu
Na mimi ni maiti kama wewe hapoWewe umeshiriki vipi ku support
Mpina??