BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
- Thread starter
-
- #101
Unajua chochote?Mpina hakutetea wananchi bali alitetea viwanda vya ndani vya sukari, Sheria na taratibu kufuatwa. Bashe ndiyo aliyetutetea Ili wananchi tupate sukari ya bei nafuu.
Binafsi nasema hivi kama kweli bashe alifanikisha kuingiza sukari na sisi wananchi tukaipata Kwa bei nafuu basi naungana na bashe, kamwe siwezi kuungana na mtu anayetaka nitumie pesa zangu nyingi Kwa kitu ninachoweza kukipata Kwa bei nafuu.
Ujinga wa kutetea viwanda vya ndani wala siuafiki hata kidogo. Inakuwaje sukari kutoka nje tena ina gharama ya usafiri inakuwa na bei ndogo kuliko ya ndani? Kama tatizo ni teknolojia kwanini wasitafute teknolojia wanayotumia wenzao huko kuzalisha?
Huu ujinga wa kutetea viwanda ipo siku mtasababisha watanzania wakose nguo za kuvaa na watembee uchi, nchi ikose mafuta ya kula na vinginevyo. Kamwe viongozi hawapaswi kuvibeba viwanda ambavyo havibebeki tutaumia wananchi, haiwezekani soko lipo kubwa halafu unashindwa kufanya biashara wakati wengine wanatafuta wateja
Ardhi ya kilimo bado ipo inategemea wewe unataka sehemu gani hususa labda ndiyo changamoto ianzie hapoSuo vijiji mkuu ni mikoa na mikoa,Wilaya na Wilaya ,vijiji na vijiji zaidi ya mikoa 18 migumu kuishi kwa vijana wa leo. .
mimi sio kuku wa kisasa wa masaki .
anayedhani Maisha ya Masaki ndio maisha ya waTanzania ?
Je, hiyo sukari iliingizwa nchini au iliishia bandarini na meli zikasepa bila sukari kushushwa na kuhifadhiwa kwenye mabohari ?Mpina hakutetea wananchi bali alitetea viwanda vya ndani vya sukari, Sheria na taratibu kufuatwa. Bashe ndiyo aliyetutetea Ili wananchi tupate sukari ya bei nafuu.
Binafsi nasema hivi kama kweli bashe alifanikisha kuingiza sukari na sisi wananchi tukaipata Kwa bei nafuu basi naungana na bashe, kamwe siwezi kuungana na mtu anayetaka nitumie pesa zangu nyingi Kwa kitu ninachoweza kukipata Kwa bei nafuu.
Ujinga wa kutetea viwanda vya ndani wala siuafiki hata kidogo. Inakuwaje sukari kutoka nje tena ina gharama ya usafiri inakuwa na bei ndogo kuliko ya ndani? Kama tatizo ni teknolojia kwanini wasitafute teknolojia wanayotumia wenzao huko kuzalisha?
Huu ujinga wa kutetea viwanda ipo siku mtasababisha watanzania wakose nguo za kuvaa na watembee uchi, nchi ikose mafuta ya kula na vinginevyo. Kamwe viongozi hawapaswi kuvibeba viwanda ambavyo havibebeki tutaumia wananchi, haiwezekani soko lipo kubwa halafu unashindwa kufanya biashara wakati wengine wanatafuta wateja
Ardhi ya kilimo bado ipo inategemea wewe unataka sehemu gani hususa labda ndiyo changamoto ianzie hapo
Ardhi ya kilimo bado ipo inategemea wewe unataka sehemu gani hususa labda ndiyo changamoto ianzie hapo
Kwamba upstairsKama unakiri alizingua kwenye baadhi ya taratibu kwanini tena useme Bashe alikuwa sahihi?!
Una tatizo upstairs.
Kwani uraia pacha ni tatizo?, we unafaidika Nini na chama chako Mpaka sasa toka kiundwe?Kwani wamewahi kufanya nini cha maana?
N.k
- Ngunguri, kutoka nje ya bungeni na kupiga kelele ndo ninayokumbuka.
- Kulilia uraia pacha
- Kuweka tuhuma zisizothibitishwa kwenye majukwaa ya kitaifa
Umetumia kufura kujibu, sina chama, sijawahi kuwa mwanachama wala kupiga kura hizo, uchaguzi pekee niliowahi kushiriki ni wa kuchagua monitor na kamati za sherehe za kimtaa.Kwani uraia pacha ni tatizo?, we unafaidika Nini na chama chako Mpaka sasa toka kiundwe?