Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Ameongea ukweli.Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina, ameonekana kuunga mkono kampeni ya 'No reform No election' ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) huku akimponge mwenyewe wa chama hicho Tundu Antiphas Lissu.
Kabisa, maana walikuwa wanasema tatizo ni cdm, sasa wamebaki wenyewe waungane. Ama Mbowe na Zito hawapikiki chungu kimoja?Hivi kwanini CHAUMMA wasiungane na ACT? wao ndio kwanza wanataka muungano na CUF sio ACT!! kuna namna upinzani wa Tanzania upo compromised sana na CCM.
Pengine Mbowe anaona aibu kumfuata mhanga wa udikteta wake. Ila wote wapo chini ya mfadhili mmoja so wanasubiri maelekezo ya chamwinoKabisa, maana walikuwa wanasema tatizo ni cdm, sasa wamebaki wenyewe waungane. Ama Mbowe na Zito hawapikiki chungu kimoja?
Amen.Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina, ameonekana kuunga mkono kampeni ya 'No reform No election' ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) huku akimponge mwenyewe wa chama hicho Tundu Antiphas Lissu.
Yaani huyo Mbowe hata kwenda Chauma bado anaona aibu, maana alitarajia wawe na nyomi baada ya kuitanguliza team yake, lakini haoni alichokitegemea.Pengine Mbowe anaona aibu kumfuata mhanga wa udikteta wake. Ila wote wapo chini ya mfadhili mmoja so wanasubiri maelekezo ya chamwino
Hawa wahamiaji chaumma walichangia katika mzozo wa Zitto kufukuzwa chadema.Hivi kwanini CHAUMMA wasiungane na ACT? wao ndio kwanza wanataka muungano na CUF sio ACT!! kuna namna upinzani wa Tanzania upo compromised sana na CCM.