dikir kab can
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 2,190
- 4,314
na huyu naye alikuwa shujaa na alisifiwa kweli kweli alipokuwa kijani.
Zitto anataka kura ziwe nyingi wapate ruzuku.Kwani Zitto yeye ana msimamo gani juu ya hili?
Daa!Zitto anataka kura ziwe nyingi wapate ruzuku.
kama alikuwa na nia hiyo, hasingepeleka jina kuwania jimbo la kule kanda ya Ziwa. labda kasingiziwa hii kauli.Anasema wako bega kwa bega na CHADEMA Ili atafute kura za wana-Chadema, au na wao wanasusia uchaguzi Hadi reforms zifanyike?
Hakika lo