Ameongea ukweli fulani juu ya Lissu.
Lakini lengo ni hapo kwenye "niviombe vyama vyote vya upinzani tuitangazie kiama CCM" yaani anatumia nafasi ya CDM kutoshiriki upuuzi, kutuhadaa sisi wana CHADEMA kwamba tukampigie kura yeye mwana CCM mamluki.
Kwani Mpina hajui kwamba Lissu na CDM tumesema hatuendi kupiga kura kama hakuna mabadiliko?. Hivi kwa tume hii ya CCM na CCM walivyouwana wenyewe kwa wenyewe kwenye kura za maoni bado Mpina anaona kuna uwezekano wa wapinzani kushinda?.
Mimi naona waliokufa kwa chaguzi zilizopita wanatosha, tuwaachie CCM uchaguzi wao.