The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
NdioJe hili bunge la Tulia lina ubavu huo? Wa Samwel sitta? Tulia mwenyewe alipatikanaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdioJe hili bunge la Tulia lina ubavu huo? Wa Samwel sitta? Tulia mwenyewe alipatikanaje?
Itakuwa jambo jema kama hilo litakuwa hivyo. Wasiwasi wangu mimi ni bunge la sasa, sioni watu wenye uwezo wa kukiita kijiko kuwa kijiko.Kwa sisi waumini wa life after life and incarnation, kuna kitu kinaitwa mtu kuwa "possessed" .
Mwili wa binadamu una sehemu kuu tatu, mwili, nafsi na roho, "body, soul, and spirit", Mtu akifa, anakufa mwili tuu, roho na nafsi hazifi. Life after Death: What happens after death?
Mtu akifa, ile nafsi yake inaweza kuhamia kwa mtu mwingine, na mifano ni hii
P
- Spirit ya Nyerere ilihamia kwa Magufuli Magufuli kama Nyerere: Ni mtu wa watu, hapapasi, hamung'unyi, ni kazi tuu, ila pia sio kama Nyerere!
- Baada ya JPM kufa, spirit ya Nyerere ikahamia kwa Polepole Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa?
- Spirit ya Regia Mtema ilihamia kwa Upendo Peneza Life After Life: Regia Mtema (RIP) Amerejea Bungeni Kiaina?
- Spirit ya JPM, imehamia kwa Makonda Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli
- Hivyo its possible the spirit Mzindakaya imampanda Mpina!.
Ni mpuuzi fulani alienyang'anywa tonge Na mfumo kwa hiyo ana hasira balaaMpina ni muhuni fulani tu,ametuharibia maisha sisi tunaotegemea uvuvi,pili mpina ni mla rushwa mkubwa alikuwa akipokea sh 10M kwa kila mvuvi pindi akiwa waziri wa uvuvi ,bado muda kidogo tu nishushe ushahidi hapa.
Mpina hana uzilankende wala uzilapumbu,ni mpuuzi fulani tu
Transmigration of the soul.Kwa sisi waumini wa life after life and incarnation, kuna kitu kinaitwa mtu kuwa "possessed" .
Mwili wa binadamu una sehemu kuu tatu, mwili, nafsi na roho, "body, soul, and spirit", Mtu akifa, anakufa mwili tuu, roho na nafsi hazifi. Life after Death: What happens after death?
Mtu akifa, ile nafsi yake inaweza kuhamia kwa mtu mwingine, na mifano ni hii
P
- Spirit ya Nyerere ilihamia kwa Magufuli Magufuli kama Nyerere: Ni mtu wa watu, hapapasi, hamung'unyi, ni kazi tuu, ila pia sio kama Nyerere!
- Baada ya JPM kufa, spirit ya Nyerere ikahamia kwa Polepole Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa?
- Spirit ya Regia Mtema ilihamia kwa Upendo Peneza Life After Life: Regia Mtema (RIP) Amerejea Bungeni Kiaina?
- Spirit ya JPM, imehamia kwa Makonda Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli
- Hivyo its possible the spirit Mzindakaya imampanda Mpina!.
Maandishi yamekosa hekima na busara ya vidole na ubongo kabla ya kuandika! Ungeweza kutumia maneno yenye heshima labda tungeelewa ujumbe wako. Tambua unayemwandika hivi ni Rais, Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkkuu. Mpe heshima yake kwa kumshauri kwa busara.🙏🙏🙏Mpina anapiga kelele kila siku kumwambia Samia anaongoza serikali ya wezi, bahati mbaya Samia amenyamaza kimya kwasababu ana urafiki wa karibu na wezi walioko kwenye serikali yake.
Anachojua ni kusubiri kusikia taarifa ya kulawitiwa mwanamke mwenzake ndio ashtuke na kuchukua hatua, lakini rasilimali zetu kama taifa kila siku zinalawitiwa chini ya usimamizi wake amenyamaza, kodi zetu kila siku zinabakwa na wasaidizi wake amenyamaza, haongei chochote.
Samia ondoka kwenye ikulu yetu umeshindwa kusimamia na kuzilinda rasiliamli zetu kama ulivyoapa ukiwa Rais, umeshindwa pia kusimamia kodi zetu watanganyika, wewe ni dhaifu tupishe ondoka kwenye ikulu yetu unaangamiza mpaka vizazi vyetu vijavyo.
Ondoka utupishe, hufai kuwa kiongozi wa hili taifa.
Mvuvi gani wa kutoa milioni kumi? Tena kipindi Cha Magufuli?. Acha uongo.Mpina ni muhuni fulani tu,ametuharibia maisha sisi tunaotegemea uvuvi,pili mpina ni mla rushwa mkubwa alikuwa akipokea sh 10M kwa kila mvuvi pindi akiwa waziri wa uvuvi ,bado muda kidogo tu nishushe ushahidi hapa.
Mpina hana uzilankende wala uzilapumbu,ni mpuuzi fulani tu
Weak point.Kama ulizoea kwenda ofisini kwake akiwa waziri Sasa kauokosa mfuate ofisini kwake jimboni kwenye ofisi ya mbunge.
Editi kidogo basi muweke walai elufu 10.Mpina ni muhuni fulani tu,ametuharibia maisha sisi tunaotegemea uvuvi,pili mpina ni mla rushwa mkubwa alikuwa akipokea sh 10M kwa kila mvuvi pindi akiwa waziri wa uvuvi ,bado muda kidogo tu nishushe ushahidi hapa.
Mpina hana uzilankende wala uzilapumbu,ni mpuuzi fulani tu
Kwasababu amesema ukweli? Hiyo inamaana ccm haiwezi kukaa na wasema ukweli?Mpina atahamia CHADEMA Next Year
Utashangaa wakati yote haya yakitokea kuna taasisi na watu wanalipwa kufuatilia mambo kama haya.Go go go Mpina.
Nchi inaliwa sana hii.
Anaweza kuwa na hoja, mifano ipo ya kuonyesha hilo, Kolimba, Mrema...Kwasababu amesema ukweli? Hiyo inamaana ccm haiwezi kukaa na wasema ukweli?
Hawa watu wa ijumaa kumbe ni wezi wa muda mrefu? hapo nimeelewa sasaNajaribu kukumbuka tu. Katika historia ya bunge letu, hakujawahi kutokea mbunge kama Chrisant Majiyatanga Mzindakaya mbunge wa Kwela mkoani Rukwa.
Sio tu kwamba ni mbunge aliyekaa bungeni kwa miaka 45, bali alipelekea mawaziri kadhaa kujiuzulu kubwa ikiwa ni kashfa ya Sukari.
Mpina sio mbunge wa kwanza kukabiliana na kashfa ya sukari, Mzindakaya maarufu mzee wa mabomu, alimlipua waziri wa Viwanda na biashara Idd Simba kwa kutoa vibali vya kuagiza sukari kwa makampuni kinyume cha sheria.
Kama alivyo mpina, mzee huyo wa mabomu pia alimg'oa waziri wa fedha Prof. Simon Mbilinyi kwa kashfa ya minofu ya samaki.
Anachofanyaa leo mpina, ni matokeo ya ufisadi uliodumu tangu zama hizo ndani ya serikali, kampuni ya simu kupewa zabuni ya kuingiza sukari!
Najua, Mpina atapitia tanuri la moto kwa hata watu wake wa karibu kumzodoa na kumpiga, lakini inajulikana sifa za ukweli kuwa atapingwa lakini mwisho wa siku, ukweli utasimama.
Go go go Mpina, yawezekana Mzandakaya amefufuka.
wewe umepandwa na spirit ya nani?Kwa sisi waumini wa life after life and incarnation, kuna kitu kinaitwa mtu kuwa "possessed" .
Mwili wa binadamu una sehemu kuu tatu, mwili, nafsi na roho, "body, soul, and spirit", Mtu akifa, anakufa mwili tuu, roho na nafsi hazifi. Life after Death: What happens after death?
Mtu akifa, ile nafsi yake inaweza kuhamia kwa mtu mwingine, na mifano ni hii
P
- Spirit ya Nyerere ilihamia kwa Magufuli Magufuli kama Nyerere: Ni mtu wa watu, hapapasi, hamung'unyi, ni kazi tuu, ila pia sio kama Nyerere!
- Baada ya JPM kufa, spirit ya Nyerere ikahamia kwa Polepole Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa?
- Spirit ya Regia Mtema ilihamia kwa Upendo Peneza Life After Life: Regia Mtema (RIP) Amerejea Bungeni Kiaina?
- Spirit ya JPM, imehamia kwa Makonda Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli
- Hivyo its possible the spirit Mzindakaya imampanda Mpina!.
Huo uchokozi sasa, pengine atapenda kujibu, lakini leo tunamjadili Mzindakaya katika nafsi ya Mpina.wewe umepandwa na spirit ya nani?
Tukienda na dhana hii, tunawatengenezea mwanya hawa wanaotuita " watu wangu" kufanya watakavyo.
Nafikiri, tujikite kwenye hoja.Mpina huyu huyu aliefifisha ndoto za wavuvi na wafanya biashara wa samaki kanda ya viwa