Nsennah
JF-Expert Member
- Jan 9, 2021
- 1,947
- 1,554
Ulishindwaje kumshitaki kipindi anafanya hayo? Ongelea anachokifanya sasa ni kibaya au kizuri?? Syo mtu anakutuhumu mahakamani kuwa umeiba kuku we unajibu mbona na wewe uliwahi kuiba daftari. Akili za kitoto hiziMpina ni muhuni fulani tu,ametuharibia maisha sisi tunaotegemea uvuvi,pili mpina ni mla rushwa mkubwa alikuwa akipokea sh 10M kwa kila mvuvi pindi akiwa waziri wa uvuvi ,bado muda kidogo tu nishushe ushahidi hapa.
Mpina hana uzilankende wala uzilapumbu,ni mpuuzi fulani tu