Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mhimili wenyewe wa mahakama ni collection of kangaroo courts. Sitashangaa kama ombi la kuzuia Uchaguzi wa Rais litakuwa DENIED bila sababu zenye mashiko!Luhaga Mpina ameendelea kushusha nondo zake na kumuelekezea zaidi Mama Kizimkazi.
Binafsi nimemuelewa vyema sana! kwamba uchaguzi auwezi kufanyika wakati kesi za wagomea wawili wa nafasi ya urais kesi zao zipo mahakamani. Na ungitazama vizuri Samia aliwekewa pingamizi na Mzee Malisa kuhusu uteuzi wake na hadi kesi ikaendelea kusikilizwa lakini cha ajabu Samia anaendelea kutamba kwenye kampeni.
Soma Pia: Shauri la Kikatiba la Luhaga Mpina dhidi ya INEC kuendelea leo Oktoba 6, 2025
Hii ndio wabongo wameikata, hakuna haki kabisa ni upendeleo na kujilimbikizia nguvu ya madaraka!
===============
Leo Oktoba 21, 2025, mawakili wa Luhaga Mpina waliwasilisha hoja zao katika Mahakama Kuu Masijala Kuu Dodoma kuhusu kesi ya kuenguliwa kwake kugombea urais kupitia ACT–Wazalendo. Kesi hiyo inahusisha Mpina dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Masikini Mpina, ili kusimamisha uchaguzi, unatakiwa kuweka bond yenye thamani ya gharama ziliizoshatumika mpaka sasa kwenye maandalizi ya uchaguzi, nani amazo hizo fedha za kusimamisha uchaguzi mkuu kisheria?.Luhaga Mpina ameendelea kushusha nondo zake na kumuelekezea zaidi Mama Kizimkazi.
Binafsi nimemuelewa vyema sana! kwamba uchaguzi auwezi kufanyika wakati kesi za wagomea wawili wa nafasi ya urais kesi zao zipo mahakamani. Na ungitazama vizuri Samia aliwekewa pingamizi na Mzee Malisa kuhusu uteuzi wake na hadi kesi ikaendelea kusikilizwa lakini cha ajabu Samia anaendelea kutamba kwenye kampeni.
Soma Pia: Shauri la Kikatiba la Luhaga Mpina dhidi ya INEC kuendelea leo Oktoba 6, 2025
Hii ndio wabongo wameikata, hakuna haki kabisa ni upendeleo na kujilimbikizia nguvu ya madaraka!
===============
Leo Oktoba 21, 2025, mawakili wa Luhaga Mpina waliwasilisha hoja zao katika Mahakama Kuu Masijala Kuu Dodoma kuhusu kesi ya kuenguliwa kwake kugombea urais kupitia ACT–Wazalendo. Kesi hiyo inahusisha Mpina dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Luhaga Mpina ameendelea kushusha nondo zake na kumuelekezea zaidi Mama Kizimkazi.
Binafsi nimemuelewa vyema sana! kwamba uchaguzi auwezi kufanyika wakati kesi za wagomea wawili wa nafasi ya urais kesi zao zipo mahakamani. Na ungitazama vizuri Samia aliwekewa pingamizi na Mzee Malisa kuhusu uteuzi wake na hadi kesi ikaendelea kusikilizwa lakini cha ajabu Samia anaendelea kutamba kwenye kampeni.
Soma Pia: Shauri la Kikatiba la Luhaga Mpina dhidi ya INEC kuendelea leo Oktoba 6, 2025
Hii ndio wabongo wameikata, hakuna haki kabisa ni upendeleo na kujilimbikizia nguvu ya madaraka!
===============
Leo Oktoba 21, 2025, mawakili wa Luhaga Mpina waliwasilisha hoja zao katika Mahakama Kuu Masijala Kuu Dodoma kuhusu kesi ya kuenguliwa kwake kugombea urais kupitia ACT–Wazalendo. Kesi hiyo inahusisha Mpina dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Natamani sana hili litokeeNi wiki ya kufa mgombea mmoja wa urais ili uchaguzi usogezwe mbele.
Pascal, uchaguzi haupo... Yaani tunashangaa a very senior member wa JF hata hujui kwamba huyo kibibi kwamba watanganyika washamkataa ? CCM watupe mtu sahihi.Masikini Mpina, ili kusimamisha uchaguzi, unatakiwa kuweka bond ya yenye thamani ya gharama ziliizoshatumika mpaka sasa kwenye maandalizi ya Uchaguzi, nani Amazon hizo fedha?.
Tuendelee kujianda kwenda kupiga kura hiyo October 29.
Kitu muhimu ni Mwami Zitto Kabwe aseme kura za ACT kwa urais wanampa nani!
P
Ingekua Marekani hapo sawaMpina ana hoja ya msingi.
Vipi kama mahakama ya rufaa ikiamua mgombea wa CCM sio halali na uchaguzi ndani ya CCM unapaswa kurudiwa sababu hakufuata sheria za chama chake?
Ndugu samia Suluhu Hassan nimeipenda hiyoLuhaga Mpina ameendelea kushusha nondo zake na kumuelekezea zaidi Mama Kizimkazi.
Binafsi nimemuelewa vyema sana! kwamba uchaguzi auwezi kufanyika wakati kesi za wagomea wawili wa nafasi ya urais kesi zao zipo mahakamani. Na ungitazama vizuri Samia aliwekewa pingamizi na Mzee Malisa kuhusu uteuzi wake na hadi kesi ikaendelea kusikilizwa lakini cha ajabu Samia anaendelea kutamba kwenye kampeni.
Soma Pia: Shauri la Kikatiba la Luhaga Mpina dhidi ya INEC kuendelea leo Oktoba 6, 2025
Hii ndio wabongo wameikata, hakuna haki kabisa ni upendeleo na kujilimbikizia nguvu ya madaraka!
===============
Leo Oktoba 21, 2025, mawakili wa Luhaga Mpina waliwasilisha hoja zao katika Mahakama Kuu Masijala Kuu Dodoma kuhusu kesi ya kuenguliwa kwake kugombea urais kupitia ACT–Wazalendo. Kesi hiyo inahusisha Mpina dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Jisemee nafsi yakoHuyo kibibi anautaka urais wa Tanganyika kuliko hata maisha yake, she is ready to kill, kidnap, kutisha watu, kuhonga mapesa, kuvunja sheria za nchi, katiba kisa Urais.
She is REJECTED hapa Duniani na Mbinguni - mwambie huyo kibibi watanganyika HAWAMTAKII.
Useless, mahakana ya rufaa iko ndani ya mfumo.Mpina ana hoja ya msingi.
Vipi kama mahakama ya rufaa ikiamua mgombea wa CCM sio halali na uchaguzi ndani ya CCM unapaswa kurudiwa sababu hakufuata sheria za chama chake?
Hii kesi inaweza kwenda kutumika kama chaka la kusimamisha uchaguzi. Hapo Mpina atapaishwa kisiasa na hapo hapo atatumika kummaliza Lissu na CHADEMA kisiasa JokaKuu
Mifumo inaongozwa na watu. Wanaongoza mifumo (watu) wakiwa sahihi na mifumo itakuwa sahihi, vivyo hivyo takataka.Useless, mahakana ya rufaa iko ndani ya mfumo.
Lissu yupo sahihi, mifumo YOTE ya utawala wa nchi ni Takataka
Ninachotaka kusema ni kwamba wakati unadai haki na inaonekana kama inapatikana, kuwa makini pia na michezo ya kisiasa inazoweza kukuhadaa kuwa unaipata haki kumbe ni njia tu ya kuteketeza harakati za kweli za demokrasia na haki...suala sio Lissu, au Chadema, bali haki itendeke.
..Na ninashangaa kwanini muda wote huu ACT hawakuomba kampeni zisimamishwe mpaka pale suala la Mpina litakapofikia tamati.
..Haki kwanza, vyama baadae.