Mpinga Hayati Magufuli aangua kilio ndani ya treni ya SGR

Mpinga Hayati Magufuli aangua kilio ndani ya treni ya SGR

Bo

Bora yeye alitumia fedha hizo kujenga na kununua mandege.

Vipi umeshajiuliza chura kiziwi hela zake anapeleka wapi?
Samia kashanunua ndege tano tangu JPM afe mwaka 2021 March, tafuta taarifa sahihi punguza maneno ya kwenye kanga.
 
Ulipinga kwa sababu huelewi kwa kina faida za ndege kwenye kuutafuta uchumi wa juu wa kati. Sio kosa lako.

..hapana.

..midege ni hasara na kila asiye na ushabiki anaelewa hilo.

..fedha tulizowekeza ni nyingi mno kulinganisha na faida tunayoitegemea.

..Magufuli aliahidi viwanda akaishia kununua midege.
 
..hapana.

..midege ni hasara na kila asiye na ushabiki anaelewa hilo.

..fedha tulizowekeza ni nyingi mno kulinganisha na faida tunayoitegemea.

..Magufuli aliahidi viwanda akaishia kununua midege.
Gharama inayoitangaza nchi ina faida pana na ya muda mrefu pengine kuliko baadhi ya viwanda ambavyo vina changamoto ya masoko ya bidhaa zinazozalishwa.

Ndege ni utalii, ndege ni urahisishaji wa mawasiliano ya kidunia huwezi kukwepa kuwa nazo. JPM alikuwa na akili sana kulifufua shirika la ndege.
 
Tuambiwe wewe basi uliyeachwa mjane na shetani lenu. Vp mumeo alikwambia anakufa kwa ugonjwa gani kama sio gonjwa la fedheha kabisa!

Shetani mkubwa wewe
 
Gharama inayoitangaza nchi ina faida pana na ya muda mrefu pengine kuliko baadhi ya viwanda ambavyo vina changamoto ya masoko ya bidhaa zinazozalishwa.

Ndege ni utalii, ndege ni urahisishaji wa mawasiliano ya kidunia huwezi kukwepa kuwa nazo. JPM alikuwa na akili sana kulifufua shirika la ndege.

Uko sasa
 
Shetani mkubwa wewe
Shetani liko Chato 12" deep!
Lilijiona lenyewe ndo lenyewe ktk nchi ya watu, wakalitenda vya kulitenda sasa limewaachia majonzi yasiyo mwisho kwa jinsi mlivyokuwa mkikiamini
 
Shetani liko Chato 12" deep!
Lilijiona lenyewe ndo lenyewe ktk nchi ya watu, wakalitenda vya kulitenda sasa limewaachia majonzi yasiyo mwisho kwa jinsi mlivyokuwa mkikiamini

Nenda kapande SGR shetani mkubwa wewe usiye na faida yoyote hata kwenye ukoo wako
 
..mimi nilimpinga Magufuli kununua midege.

..midege inatuletea hasara ambayo hatukupaswa kuibeba.

..pamoja na hayo nitapanda Atcl ilimradi inanifikisha ninapotaka kwenda.

..pia nilipinga ujenzi wa mji Mkuu Dodoma. Fedha na rasilimali zilizotumia Dodoma zingeweza kufanya mambo mengi yenye tija.

..mtizamo wangu haunizuii kutembelea Dodoma.
Kwa hiyo Dodoma sio Tanzania?
 
Kwa hiyo Dodoma sio Tanzania?

..Dodoma ni Tanzania lakini hatukuhitaji mji Mkuu mpya Dodoma.

..Serikali ingeweza kujenga kongani ya viwanda Dodoma, au mradi mkubwa wa kilimo au ufugaji, nisingelalamika.
 
..Dodoma ni Tanzania lakini hatukuhitaji mji Mkuu mpya Dodoma.

..Serikali ingeweza kujenga kongani ya viwanda Dodoma, au mradi mkubwa wa kilimo au ufugaji, nisingelalamika.

Kwani umezuiwa kujenga sasa hivi? Nenda kajenge
 
Kwani umezuiwa kujenga sasa hivi? Nenda kajenge

..hoja yangu ni kwamba Magufuli ameitia nchi hasara kwa kununua midege toka kwa mabeberu, na kujenga mji Mkuu mpya ambao hakukuwa tukiuhitaji.
 
Tarehe 4, july, 2024 nikiwa kwenye treni ya umeme (SGR)ya Dar - Morogoro ambapo abiria wanatumia saa moja na dakika 49 tu kufika, hivyo kuokoa muda mwingi wa uzalishaji uliokuwa unapotea barabarani kwenye foleni, kwenye siti pembeni yangu alikaa kijana ambaye kwa muonekano yupo umri wa above 25 ambaye muda wote alionekana mwenye huzuni sana na majuto mengi.

Baada ya kufika kituo cha Soga mkoani Pwani nikamuona kijana ameanza kuangua kilio na ndipo ilibidi nimuhoji na abiria wenzangu wakataka kujua ni nini kinamsibu kijana huyu, kijana alieleza kuwa nafsi inamsuta kupanda hii SGR kwani alipinga ujenzi wake akiongozwa na Tundu Lisu na Chadema kwa ujumla alishiriki kumtukana hayati Rais Magufuli na kumkejeli pale alipoanzisha ujenzi wa reli ya umeme wakati huo ikiwa awamu ya tano!

Kijana anasema sasa analia na kusaga meno kwani Magufuli hayupo tena duniani na hajui atamuombea wapi msamaha ili nafsi yake iwe huru kwani mradi wa sgr Dar - Moro umekamilika na kuwa wenye manufaa makubwa kwa watanzania masikini na matajiri bila kujali vipato vyao.

My take
Kwa maoni yangu vijana wa namna hii wako wengi wanapanda ndege, treni, flyover na kuwasha umeme wa bwawa huku nafsi zao zinawasuta sana maana walidanganywa na wanasiasa matapeli wasio na maono wala uzalendo wowote kwa taifa la Tanzania wakaishia kumtukana hayati Magufuli kwamba ni mshamba badala ya kutumia nguvu zao kuungana na Magufuli kujenga nchi wao wakatumia nguvu zao kumtukana na sasa wanajuta.
Hawa wapo wengi tu hata lisu mwenyewe anajuta kumpinga magufuli
 
Nenda kapande SGR shetani mkubwa wewe usiye na faida yoyote hata kwenye ukoo wako
Napanda huku nalilaani lile shetani lenu la Chato kwa kuwatesa watz wenye utajiri wao eti alitaka waishi kama mashetani.
 
..hoja yangu ni kwamba Magufuli ameitia nchi hasara kwa kununua midege toka kwa mabeberu, na kujenga mji Mkuu mpya ambao hakukuwa tukiuhitaji.

Kwa kuwa wewe ni fukara usiyeweza kupanda ndege unataka kuwalazimisha na wenye hela zao wasisafiri kwa ndege? Jinga kabisa wewe
 
Napanda huku nalilaani lile shetani lenu la Chato kwa kuwatesa watz wenye utajiri wao eti alitaka waishi kama mashetani.

Upande treni ya watanzania kutafuta nini shetani mkubwa wewe
 
Kwa kuwa wewe ni fukara usiyeweza kupanda ndege unataka kuwalazimisha na wenye hela zao wasisafiri kwa ndege? Jinga kabisa wewe

..Naweza kupanda ndege.

..Na hata midege aliyonunua Magufuli napanda.

..hoja yangu ni kwamba Tz hatuhitaji shirika la ndege la umma kwasababu biashara hiyo ni ya HASARA.
 
Ulifuatilia hoja zilizotolewa na wapinzani kuhusu mushkeli mkubwa uliomo kwenye uamuzi wa kununua ndege kwa cash bila business plan wala kuzingatia taratibu za manunuzi?

Huo mzaha wa mitaani kuhusu “mapanga boi” sio hoja ya kujadiliwa kwenye mada hii.

It was a bad decision; it still is. ATCL haitafufuka na italiletea taifa hasara ya mabilioni tukiendelea na ujinga wa kununua ndege “gizani” na kuzitumia bila mpangilio makini wa kibiashara.

Kuhusu watu kuzipanda, watazipanda tu zikiwepo kwa malipo kama wanavyopanda zingine zilizopo kwenye soko. Tanzania hatujawahi kuwa na shida ya usafiri wa ndege.

Hata SGR serikali ikipaparika kuendekeza hizo Safari fupi za abiria kufurahisha mashabiki kabla mradi haujakamilika na kuanza kusafirisha mizigo mikubwa itaishia kwenye mawe. TAZARA na TRC pamoja na ukongwe zinaponea ruzuku hadi leo.

Haya sio masuala ya propaganda nyepesi nyepesi.
Pesa ya SGR ilikuwa na uwezo wa kuweka lami km 6000 hadi 7000 ambazo zingebadili tasirwa ya Tz kabisaaaa
 
..Naweza kupanda ndege.

..Na hata midege aliyonunua Magufuli napanda.

..hoja yangu ni kwamba Tz hatuhitaji shirika la ndege la umma kwasababu biashara hiyo ni ya HASARA.

Hamia kwenye nchi ambayo haina shirika lake la ndege. Jinga kabisa wewe
 
Upande treni ya watanzania kutafuta nini shetani mkubwa wewe
Tehtehtehteeeee
Pole Mjane wa Marehemu.
Lile shetani lenu la Chato ulilitegemea sana mpk ukaliona kama MunguMtu wako vile. Sasa unatapatapa.
Ushauri wa bure, Ni rahisi sana kulifata huko kuzimu kuliko kudhani labda ipo siku litarudi tena kwenye nchi yetu
 
Back
Top Bottom