Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Mkuu ubunifu ni sawa na vidole vya mikono vinatofautiana, wapo wasomi imara kwenye sekta ya anga muda huu wakati unakuja na hoja zako za kupinga, wao wanatengeneza faida ya mabilioni ya shilingi...Marekani haina shirika la ndege la serikali.
..pia hatuwezi kuwaiga Ethiopia kwasababu wao walianzisha shirika lao miaka ambayo biashara ya usafiri wa anga ilikuwa haina ushindani mkali kama zama hizi.
JPM alikuwa na udhaifu wake lakini alijaaliwa maono ya hali ya juu sana. Sekta nzima ya usafiri wa anga kwa sasa inapanda juu kuliko kipindi chochote.