Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Samia kashanunua ndege tano tangu JPM afe mwaka 2021 March, tafuta taarifa sahihi punguza maneno ya kwenye kanga.Bo
Bora yeye alitumia fedha hizo kujenga na kununua mandege.
Vipi umeshajiuliza chura kiziwi hela zake anapeleka wapi?
Ulipinga kwa sababu huelewi kwa kina faida za ndege kwenye kuutafuta uchumi wa juu wa kati. Sio kosa lako.
Gharama inayoitangaza nchi ina faida pana na ya muda mrefu pengine kuliko baadhi ya viwanda ambavyo vina changamoto ya masoko ya bidhaa zinazozalishwa...hapana.
..midege ni hasara na kila asiye na ushabiki anaelewa hilo.
..fedha tulizowekeza ni nyingi mno kulinganisha na faida tunayoitegemea.
..Magufuli aliahidi viwanda akaishia kununua midege.
Gharama inayoitangaza nchi ina faida pana na ya muda mrefu pengine kuliko baadhi ya viwanda ambavyo vina changamoto ya masoko ya bidhaa zinazozalishwa.
Ndege ni utalii, ndege ni urahisishaji wa mawasiliano ya kidunia huwezi kukwepa kuwa nazo. JPM alikuwa na akili sana kulifufua shirika la ndege.
Shetani liko Chato 12" deep!Shetani mkubwa wewe
Shetani liko Chato 12" deep!
Lilijiona lenyewe ndo lenyewe ktk nchi ya watu, wakalitenda vya kulitenda sasa limewaachia majonzi yasiyo mwisho kwa jinsi mlivyokuwa mkikiamini
Kwa hiyo Dodoma sio Tanzania?..mimi nilimpinga Magufuli kununua midege.
..midege inatuletea hasara ambayo hatukupaswa kuibeba.
..pamoja na hayo nitapanda Atcl ilimradi inanifikisha ninapotaka kwenda.
..pia nilipinga ujenzi wa mji Mkuu Dodoma. Fedha na rasilimali zilizotumia Dodoma zingeweza kufanya mambo mengi yenye tija.
..mtizamo wangu haunizuii kutembelea Dodoma.
Kwa hiyo Dodoma sio Tanzania?
Kwani umezuiwa kujenga sasa hivi? Nenda kajenge
Hawa wapo wengi tu hata lisu mwenyewe anajuta kumpinga magufuliTarehe 4, july, 2024 nikiwa kwenye treni ya umeme (SGR)ya Dar - Morogoro ambapo abiria wanatumia saa moja na dakika 49 tu kufika, hivyo kuokoa muda mwingi wa uzalishaji uliokuwa unapotea barabarani kwenye foleni, kwenye siti pembeni yangu alikaa kijana ambaye kwa muonekano yupo umri wa above 25 ambaye muda wote alionekana mwenye huzuni sana na majuto mengi.
Baada ya kufika kituo cha Soga mkoani Pwani nikamuona kijana ameanza kuangua kilio na ndipo ilibidi nimuhoji na abiria wenzangu wakataka kujua ni nini kinamsibu kijana huyu, kijana alieleza kuwa nafsi inamsuta kupanda hii SGR kwani alipinga ujenzi wake akiongozwa na Tundu Lisu na Chadema kwa ujumla alishiriki kumtukana hayati Rais Magufuli na kumkejeli pale alipoanzisha ujenzi wa reli ya umeme wakati huo ikiwa awamu ya tano!
Kijana anasema sasa analia na kusaga meno kwani Magufuli hayupo tena duniani na hajui atamuombea wapi msamaha ili nafsi yake iwe huru kwani mradi wa sgr Dar - Moro umekamilika na kuwa wenye manufaa makubwa kwa watanzania masikini na matajiri bila kujali vipato vyao.
My take
Kwa maoni yangu vijana wa namna hii wako wengi wanapanda ndege, treni, flyover na kuwasha umeme wa bwawa huku nafsi zao zinawasuta sana maana walidanganywa na wanasiasa matapeli wasio na maono wala uzalendo wowote kwa taifa la Tanzania wakaishia kumtukana hayati Magufuli kwamba ni mshamba badala ya kutumia nguvu zao kuungana na Magufuli kujenga nchi wao wakatumia nguvu zao kumtukana na sasa wanajuta.
Napanda huku nalilaani lile shetani lenu la Chato kwa kuwatesa watz wenye utajiri wao eti alitaka waishi kama mashetani.Nenda kapande SGR shetani mkubwa wewe usiye na faida yoyote hata kwenye ukoo wako
..hoja yangu ni kwamba Magufuli ameitia nchi hasara kwa kununua midege toka kwa mabeberu, na kujenga mji Mkuu mpya ambao hakukuwa tukiuhitaji.
Kwa kuwa wewe ni fukara usiyeweza kupanda ndege unataka kuwalazimisha na wenye hela zao wasisafiri kwa ndege? Jinga kabisa wewe
Pesa ya SGR ilikuwa na uwezo wa kuweka lami km 6000 hadi 7000 ambazo zingebadili tasirwa ya Tz kabisaaaaUlifuatilia hoja zilizotolewa na wapinzani kuhusu mushkeli mkubwa uliomo kwenye uamuzi wa kununua ndege kwa cash bila business plan wala kuzingatia taratibu za manunuzi?
Huo mzaha wa mitaani kuhusu “mapanga boi” sio hoja ya kujadiliwa kwenye mada hii.
It was a bad decision; it still is. ATCL haitafufuka na italiletea taifa hasara ya mabilioni tukiendelea na ujinga wa kununua ndege “gizani” na kuzitumia bila mpangilio makini wa kibiashara.
Kuhusu watu kuzipanda, watazipanda tu zikiwepo kwa malipo kama wanavyopanda zingine zilizopo kwenye soko. Tanzania hatujawahi kuwa na shida ya usafiri wa ndege.
Hata SGR serikali ikipaparika kuendekeza hizo Safari fupi za abiria kufurahisha mashabiki kabla mradi haujakamilika na kuanza kusafirisha mizigo mikubwa itaishia kwenye mawe. TAZARA na TRC pamoja na ukongwe zinaponea ruzuku hadi leo.
Haya sio masuala ya propaganda nyepesi nyepesi.
..Naweza kupanda ndege.
..Na hata midege aliyonunua Magufuli napanda.
..hoja yangu ni kwamba Tz hatuhitaji shirika la ndege la umma kwasababu biashara hiyo ni ya HASARA.
Hamia kwenye nchi ambayo haina shirika lake la ndege. Jinga kabisa wewe
TehtehtehteeeeeUpande treni ya watanzania kutafuta nini shetani mkubwa wewe