UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Jamaa anapenda sifa za kitoto huyo. Ufisadi wake wote huo angeacha nini cha maana?!Kikwete anasema alimuachia magu SGR aiendeleze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa anapenda sifa za kitoto huyo. Ufisadi wake wote huo angeacha nini cha maana?!Kikwete anasema alimuachia magu SGR aiendeleze
Ulifuatilia hoja zilizotolewa na wapinzani kuhusu mushkeli mkubwa uliomo kwenye uamuzi wa kununua ndege kwa cash bila business plan wala kuzingatia taratibu za manunuzi?Mbona Lissu aliziita ndege panga boy na anazipanda?
Hawa wanasiasa wakati mwingine wakikuambia jambo,
Changanya na akili zako!!
..mimi nilimpinga Magufuli kununua midege.
..midege inatuletea hasara ambayo hatukupaswa kuibeba.
..pamoja na hayo nitapanda Atcl ilimradi inanifikisha ninapotaka kwenda.
..pia nilipinga ujenzi wa mji Mkuu Dodoma. Fedha na rasilimali zilizotumia Dodoma zingeweza kufanya mambo mengi yenye tija.
..mtizamo wangu haunizuii kutembelea Dodoma.
Ulifuatilia hoja zilizotolewa na wapinzani kuhusu mushkeli mkubwa uliomo kwenye uamuzi wa kununua ndege kwa cash bila business plan wala kuzingatia taratibu za manunuzi?
Huo mzaha wa mitaani kuhusu “mapanga boi” sio hoja ya kujadiliwa kwenye mada hii.
It was a bad decision; it still is. ATCL haitafufuka na italiletea taifa hasara ya mabilioni tukiendelea na ujinga wa kununua ndege “gizani” na kuzutumia bila mpangilio makini wa kibiashara.
Kuhusu watu kuzipanda, watazipanda tu zikiwepo kwa malipo kama wanavyopanda zingine zilizopo kwenye soko. Tanzania hatujawahi kuwa na shida ya usafiri wa ndege.
Hata SGR serikali ikipaparika kuendekeza hizo Safari fupi za abiria kufurahisha mashabiki kabla mradi haujakamilika na kuanza kusafirisha mizigo mikubwa itaishia kwenye mawe. TAZARA na TRC pamoja na ukongwe zinaponea ruzuku hadi leo.
Haya sio masuala ya propaganda nyepesi nyepesi.
Unamaanisha Lissu alipoziita ndege zile "Panga boi" ulikuwa mzaha sio!!Ulifuatilia hoja zilizotolewa na wapinzani kuhusu mushkeli mkubwa uliomo kwenye uamuzi wa kununua ndege kwa cash bila business plan wala kuzingatia taratibu za manunuzi?
Huo mzaha wa mitaani kuhusu “mapanga boi” sio hoja ya kujadiliwa kwenye mada hii.
It was a bad decision; it still is. ATCL haitafufuka na italiletea taifa hasara ya mabilioni tukiendelea na ujinga wa kununua ndege “gizani” na kuzutumia bila mpangilio makini wa kibiashara.
Kuhusu watu kuzipanda, watazipanda tu zikiwepo kwa malipo kama wanavyopanda zingine zilizopo kwenye soko. Tanzania hatujawahi kuwa na shida ya usafiri wa ndege.
Hata SGR serikali ikipaparika kuendekeza hizo Safari fupi za abiria kufurahisha mashabiki kabla mradi haujakamilika na kuanza kusafirisha mizigo mikubwa itaishia kwenye mawe. TAZARA na TRC pamoja na ukongwe zinaponea ruzuku hadi leo.
Haya sio masuala ya propaganda nyepesi nyepesi.
I mean, get serious.Unamaanisha Lissu alipoziita ndege zile "Panga boi" ulikuwa mzaha sio!!
Utakuwa mmoja ya wanaojuta sana
Lissu alishaenda kuomba msamaha kwa niaba ya wananchi wote pamoja na Chadema kwa kumtukana JPM hvy mmesamehewa 😎
NonsenseTarehe 4, july, 2024 nikiwa kwenye treni ya umeme (SGR)ya Dar - Morogoro ambapo abiria wanatumia saa moja na dakika 49 tu kufika, hivyo kuokoa muda mwingi wa uzalishaji uliokuwa unapotea barabarani kwenye foleni, kwenye siti pembeni yangu alikaa kijana ambaye kwa muonekano yupo umri wa above 25 ambaye muda wote alionekana mwenye huzuni sana na majuto mengi.
Baada ya kufika kituo cha Soga mkoani Pwani nikamuona kijana ameanza kuangua kilio na ndipo ilibidi nimuhoji na abiria wenzangu wakataka kujua ni nini kinamsibu kijana huyu, kijana alieleza kuwa nafsi inamsuta kupanda hii SGR kwani alipinga ujenzi wake akiongozwa na Tundu Lisu na Chadema kwa ujumla alishiriki kumtukana hayati Rais Magufuli na kumkejeli pale alipoanzisha ujenzi wa reli ya umeme wakati huo ikiwa awamu ya tano!
Kijana anasema sasa analia na kusaga meno kwani Magufuli hayupo tena duniani na hajui atamuombea wapi msamaha ili nafsi yake iwe huru kwani mradi wa sgr Dar - Moro umekamilika na kuwa wenye manufaa makubwa kwa watanzania masikini na matajiri bila kujali vipato vyao.
My take
Kwa maoni yangu vijana wa namna hii wako wengi wanapanda ndege, treni, flyover na kuwasha umeme wa bwawa huku nafsi zao zinawasuta sana maana walidanganywa na wanasiasa matapeli wasio na maono wala uzalendo wowote kwa taifa la Tanzania wakaishia kumtukana hayati Magufuli kwamba ni mshamba badala ya kutumia nguvu zao kuungana na Magufuli kujenga nchi wao wakatumia nguvu zao kumtukana na sasa wanajuta.
Tena uongo wa kitoto.UZUSHI NA UWONGO.
Chawa wa marehemu hawezi thibitisha.Thibitisha hili tukio lilitokea kweli na si hadithi uliyotunga mwenyewe tu.
Tarehe 4, july, 2024 nikiwa kwenye treni ya umeme (SGR)ya Dar - Morogoro ambapo abiria wanatumia saa moja na dakika 49 tu kufika, hivyo kuokoa muda mwingi wa uzalishaji uliokuwa unapotea barabarani kwenye foleni, kwenye siti pembeni yangu alikaa kijana ambaye kwa muonekano yupo umri wa above 25 ambaye muda wote alionekana mwenye huzuni sana na majuto mengi.
Baada ya kufika kituo cha Soga mkoani Pwani nikamuona kijana ameanza kuangua kilio na ndipo ilibidi nimuhoji na abiria wenzangu wakataka kujua ni nini kinamsibu kijana huyu, kijana alieleza kuwa nafsi inamsuta kupanda hii SGR kwani alipinga ujenzi wake akiongozwa na Tundu Lisu na Chadema kwa ujumla alishiriki kumtukana hayati Rais Magufuli na kumkejeli pale alipoanzisha ujenzi wa reli ya umeme wakati huo ikiwa awamu ya tano!
Kijana anasema sasa analia na kusaga meno kwani Magufuli hayupo tena duniani na hajui atamuombea wapi msamaha ili nafsi yake iwe huru kwani mradi wa sgr Dar - Moro umekamilika na kuwa wenye manufaa makubwa kwa watanzania masikini na matajiri bila kujali vipato vyao.
My take
Kwa maoni yangu vijana wa namna hii wako wengi wanapanda ndege, treni, flyover na kuwasha umeme wa bwawa huku nafsi zao zinawasuta sana maana walidanganywa na wanasiasa matapeli wasio na maono wala uzalendo wowote kwa taifa la Tanzania wakaishia kumtukana hayati Magufuli kwamba ni mshamba badala ya kutumia nguvu zao kuungana na Magufuli kujenga nchi wao wakatumia nguvu zao kumtukana na sasa wanajuta.
"Na Mimi nataka niseme Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"Tarehe 4, july, 2024 nikiwa kwenye treni ya umeme (SGR)ya Dar - Morogoro ambapo abiria wanatumia saa moja na dakika 49 tu kufika, hivyo kuokoa muda mwingi wa uzalishaji uliokuwa unapotea barabarani kwenye foleni, kwenye siti pembeni yangu alikaa kijana ambaye kwa muonekano yupo umri wa above 25 ambaye muda wote alionekana mwenye huzuni sana na majuto mengi.