Mpinga Hayati Magufuli aangua kilio ndani ya treni ya SGR

Mbona Lissu aliziita ndege panga boy na anazipanda?

Hawa wanasiasa wakati mwingine wakikuambia jambo,

Changanya na akili zako!!
Ulifuatilia hoja zilizotolewa na wapinzani kuhusu mushkeli mkubwa uliomo kwenye uamuzi wa kununua ndege kwa cash bila business plan wala kuzingatia taratibu za manunuzi?

Huo mzaha wa mitaani kuhusu “mapanga boi” sio hoja ya kujadiliwa kwenye mada hii.

It was a bad decision; it still is. ATCL haitafufuka na italiletea taifa hasara ya mabilioni tukiendelea na ujinga wa kununua ndege “gizani” na kuzitumia bila mpangilio makini wa kibiashara.

Kuhusu watu kuzipanda, watazipanda tu zikiwepo kwa malipo kama wanavyopanda zingine zilizopo kwenye soko. Tanzania hatujawahi kuwa na shida ya usafiri wa ndege.

Hata SGR serikali ikipaparika kuendekeza hizo Safari fupi za abiria kufurahisha mashabiki kabla mradi haujakamilika na kuanza kusafirisha mizigo mikubwa itaishia kwenye mawe. TAZARA na TRC pamoja na ukongwe zinaponea ruzuku hadi leo.

Haya sio masuala ya propaganda nyepesi nyepesi.
 

Utakuwa mmoja ya wanaojuta sana
 

Una uwezo duni sana wa kufikiri
 
Unamaanisha Lissu alipoziita ndege zile "Panga boi" ulikuwa mzaha sio!!
 
Lissu alishaenda kuomba msamaha kwa niaba ya wananchi wote pamoja na Chadema kwa kumtukana JPM hvy mmesamehewa 😎
 
Nonsense
 
Lissu alishaenda kuomba msamaha kwa niaba ya wananchi wote pamoja na Chadema kwa kumtukana JPM hvy mmesamehewa [emoji41]

Aliombea wapi huo msamaha
 
..Magufuli aliomba msamaha kwa kujaribu kumuua Lissu?

Aliomba msamaha baada ya kugundua kuwa aliyetaka kumuua yupo ndani ya chadema na siyo Magufuli
 

Sbb kakiri alimtukana Mh. Rais wakati huo, inafaa akamatwe na kufunguliwa mashtaka haraka sana na bila shaka atafungwa miaka kati ya 7 hadi 10, si kakiri mwenyewe alimtukana the Late JPM akiwa Rais wakati huo, ana kesi ya kujibu kubwa sana tu, atafutwe..!!
 
"Na Mimi nataka niseme Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…