Mpinga Hayati Magufuli aangua kilio ndani ya treni ya SGR

"Na Mimi nataka niseme Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"

Uko sawa
 
"Na Mimi nataka niseme Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"
Kwa nini tuchaguliwe kukumbuka MAZURI tu, na MABAYA aliyotuumiza TUSIYAKUMBUKE?
 
Ninachoomba tu ni kuwa serikali ya CCM ienzi legacy ya Magufuli bila kubeza,hii itasaidia sana kuongeza mvuto wa chama,huyu jamaa hakuna mfano wake si kwa Tanzania tu bali kwa Africa nzima,mabaya yake yabakie kuwa mabaya lakini yaliyo mema yaenziwe kwa nguvu zote...
 

Hana hata mabaya ni propanganda tu
 
Aise dunia imekuwa ya ovyo.
 
Masikini kijana wetu,katika uchaguzi ujao lazima atakichagua chama cha magufuli,akidhani ni yule yule
kama wazee wengi vijijini wanavyoendelea kuamini chama cha nyerere.
Siku nyingine ukituletea habari kama hii hakikisha unaweka na picha,vinginevyo tunajua ni kampeni tuu.
 
Ni Lucas pekee ndie anayeweza kufanya hicho kitendo cha kububujikwa na machozi mbele za watu.
 
Hana hata mabaya ni propanganda tu
Huwezi fanya mambo mazuri na wasikosekane wa kuumia wakati wa huo utendaji.
Unachinja ng'ombe ili mpate nyama huku ndama anatoa machozi kupoteza mama kwa wala nyama wewe ni mzuri kwa ndama wewe ni muuaji.
 
Tuonyeshe ni wapi na lini Lissu alipinga ujenzi huu?
 
Huko aliko hata Msigwa analia sana!! Anajutia upumbavu wake
 
Tuandae ibada ya kuomba msamaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…