Mpinga Hayati Magufuli aangua kilio ndani ya treni ya SGR

Tehtehtehteeeee
Pole Mjane wa Marehemu.
Lile shetani lenu la Chato ulilitegemea sana mpk ukaliona kama MunguMtu wako vile. Sasa unatapatapa.
Ushauri wa bure, Ni rahisi sana kulifata huko kuzimu kuliko kudhani labda ipo siku litarudi tena kwenye nchi yetu

Shetani linajichekeshachekesha
 
Shetani linajichekeshachekesha
Tehtehteeeteh
Vp Mjane wa Marehemu, nmekukumbusha cheko la shetani lako mwenyewe!
Umelimisije!?
Ndo halirudi tena, limetuacha tukiendelea kujilia mema ya nchi yetu lenyewe liko kuzimu
 
..hoja yangu ni kwamba Magufuli ameitia nchi hasara kwa kununua midege toka kwa mabeberu, na kujenga mji Mkuu mpya ambao hakukuwa tukiuhitaji.
Tumia akili tena kujua umuhimu wa kujenga mji mkuu Dodoma.kwanza Dodoma ni mji mkuu rasmi,unapunguza foleni Dar.Dar inabaki kuwa mji wa biashara.
 
Tarehe 4, july, 2024 nikiwa kwenye treni ya umeme (SGR)ya Dar - Morogoro ambapo abiria wanatumia saa moja na dakika 49 tu kufika, hivyo kuokoa muda mwingi wa uzalishaji uliokuwa unapotea barabarani kwenye foleni, kwenye siti pembeni yangu alikaa kijana ambaye kwa muonekano yupo umri wa above 25 ambaye muda wote alionekana mwenye huzuni sana na majuto mengi.

Baada ya kufika kituo cha Soga mkoani Pwani nikamuona kijana ameanza kuangua kilio na ndipo ilibidi nimuhoji na abiria wenzangu wakataka kujua ni nini kinamsibu kijana huyu, kijana alieleza kuwa nafsi inamsuta kupanda hii SGR kwani alipinga ujenzi wake akiongozwa na Tundu Lisu na Chadema kwa ujumla alishiriki kumtukana hayati Rais Magufuli na kumkejeli pale alipoanzisha ujenzi wa reli ya umeme wakati huo ikiwa awamu ya tano!

Kijana anasema sasa analia na kusaga meno kwani Magufuli hayupo tena duniani na hajui atamuombea wapi msamaha ili nafsi yake iwe huru kwani mradi wa sgr Dar - Moro umekamilika na kuwa wenye manufaa makubwa kwa watanzania masikini na matajiri bila kujali vipato vyao.

My take
Kwa maoni yangu vijana wa namna hii wako wengi wanapanda ndege, treni, flyover na kuwasha umeme wa bwawa huku nafsi zao zinawasuta sana maana walidanganywa na wanasiasa matapeli wasio na maono wala uzalendo wowote kwa taifa la Tanzania wakaishia kumtukana hayati Magufuli kwamba ni mshamba badala ya kutumia nguvu zao kuungana na Magufuli kujenga nchi wao wakatumia nguvu zao kumtukana na sasa wanajuta.
Chai
 
Ni hadithi ya uongo tu na wala haisaidii chochote. Kitu kikubwa mnachopaswa kufanya ni kumwombea DUA kwa Mwenyezi Mungu amsamehe yale mabaya yote aliyoyatenda wakati akiwa hai.
Binadamu wote tuna mazuri yetu na tuna mabaya yetu lakini tukae tukijua kuna baadhi ya mambo mabaya tukiyatenda hufunika yale mazuri yote na yanakuwa hayana maana yoyote kwako japo yatakuwa yana maana kwa wengine.
Tujitahidi kutenda mema hapa duniani wakati wa uhai wetu bila kujali wewe ni tajiri,msomi au ni mtu mwenye madaraka na mamlaka fulani kwani hivyo vyote havitokusaidia chochote isipokuwa matendo yako mema.
 
Tumia akili tena kujua umuhimu wa kujenga mji mkuu Dodoma.kwanza Dodoma ni mji mkuu rasmi,unapunguza foleni Dar.Dar inabaki kuwa mji wa biashara.

..Dodoma nako kukiwa na foleni tutajenga mji mkuu mpya ktk mkoa mwingine?

..kwa mtizamo wangu fedha zilizotumika Dodoma ni nyingi sana na zingeweza kutupa faida zaidi kama zingewekezwa kwenye sekta zinazozalisha.
 
Dodoma ni nchi jirani?

Watu waliolipwa fidia hapo Dodoma kupisha maeneo siyo watanzania??

Jinga kabisa wewe
 
..Nchi ingefaidika zaidi kama Dodoma kungejengwa miradi ya UZALISHAJI mali, kwa mfano, viwanda, badala ya majumba na maofisi ya viongozi.
 
Alafu hao wanaokaa sasa hivi kwenye hayo majumba na ofisi ungewapa pa kukaa na ofisi mkunduni mwako?
 
..viongozi waliojengewa maofisi na majumba Dodoma tayari walikuwa na maofisi na makazi Dsalaam.

..tungefaidika zaidi kama tungejenga miradi ya UZALISHAJI mali Dodoma badala ya majumba na maofisi ya viongozi.
 
..viongozi waliojengewa maofisi na majumba Dodoma tayari walikuwa na maofisi na makazi Dsalaam.

..tungefaidika zaidi kama tungejenga miradi ya UZALISHAJI mali Dodoma badala ya majumba na maofisi ya viongozi.

Jinga kabisa wewe
 
Tarehe 4, july, 2024 nikiwa kwenye treni ya umeme (SGR)ya Dar - Morogoro ambapo abiria wanatumia saa moja na dakika 49 tu kufika, hivyo kuokoa muda mwingi wa uzalishaji uliokuwa unapotea barabarani kwenye foleni, kwenye siti pembeni yangu alikaa kijana ambaye kwa muonekano yupo umri wa above 25 ambaye muda wote alionekana mwenye huzuni sana na majuto mengi.

Baada ya kufika kituo cha Soga mkoani Pwani nikamuona kijana ameanza kuangua kilio na ndipo ilibidi nimuhoji na abiria wenzangu wakataka kujua ni nini kinamsibu kijana huyu, kijana alieleza kuwa nafsi inamsuta kupanda hii SGR kwani alipinga ujenzi wake akiongozwa na Tundu Lisu na Chadema kwa ujumla alishiriki kumtukana hayati Rais Magufuli na kumkejeli pale alipoanzisha ujenzi wa reli ya umeme wakati huo ikiwa awamu ya tano!

Kijana anasema sasa analia na kusaga meno kwani Magufuli hayupo tena duniani na hajui atamuombea wapi msamaha ili nafsi yake iwe huru kwani mradi wa sgr Dar - Moro umekamilika na kuwa wenye manufaa makubwa kwa watanzania masikini na matajiri bila kujali vipato vyao.

My take
Kwa maoni yangu vijana wa namna hii wako wengi wanapanda ndege, treni, flyover na kuwasha umeme wa bwawa huku nafsi zao zinawasuta sana maana walidanganywa na wanasiasa matapeli wasio na maono wala uzalendo wowote kwa taifa la Tanzania wakaishia kumtukana hayati Magufuli kwamba ni mshamba badala ya kutumia nguvu zao kuungana na Magufuli kujenga nchi wao wakatumia nguvu zao kumtukana na sasa wanajuta.

Uongo wa kitoto😂😂 yaani mna mwezi Magu hivi kweli
 
Back
Top Bottom