Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Diamond anapambana na hela hapambani na mtu. Umefanya vema kuwapambanisha Alikiba na Marlaw.Team WCB mkapambane tu na Harmonize kwa sasa. Jamaa ana mkakati mzuri sana this time.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diamond anapambana na hela hapambani na mtu. Umefanya vema kuwapambanisha Alikiba na Marlaw.Team WCB mkapambane tu na Harmonize kwa sasa. Jamaa ana mkakati mzuri sana this time.
For any afro music match up debate to be relevant hapa kwetu lazima Diamond atajwe..kid has set the bar too high kiasi hata wakiahindanishwa wengine lazima “mfano” utajwe.so waelewe tu bossWell, am not sure why was it crucial to have diamond name on your thread title if your intention were to only say marlaw is of the same class as kiba.
I mean.. Must you write his name if he ain't good at music as you're preaching?? You could have just ignored him.. Clearly, there is no point in whatever you said. I don't see nothing but crap on the whole post.
So ktk hao watatu Mondi,Marlaw na Kiba nafasi ya Mondi ni ipi? Nikusema yupo chini sana kiasi yakua hawezi kushindanishwa na Kiba maana levo za kiba ni Marlaw,ambao wapo juu?au yupo juu sana kiasi yakwamba badala watu kumueka Kiba levo moja na Mondi haingii badala yake levo ya kiba ni Marlow ambao wote wapo chini?
Hebu tufafanulie hapa na ukafanya hivyo nadhani utakua umesha summarize bandiko lako nzima!
Mi mpaka sasa sijausikia.Nilipousoma huu uzi ndo nikajua kuwa Marlaw ametoa nyimbo huku kitaa sijawahi kuusikia niwe mkweli katika hili,baada ya kumaliza kusoma alichoandika haraka sana nikaenda kuupakua ni nyimbo ya kawaida wala haina maajabu.
Jiulize kwanini Diamond alivyobadisha styles za muziki wake ndiyo anazidi ku'mushroom internationally, kwasababu amelenga zaidi kwenye entertainment za amsha amsha. Amelijua soko kwani kuliteka soko ni kulenga utashi wa majorities.Sasa mbona unajichanganya?
Mwanzo ulisema lugha ndiyo inawaangusha wasanii wengine, nikakuambia lugha sio ishu kabisa kwenye muziki. Muziki wenyewe ni lugha. Umeshasahau hata hoja yako.
Kimsingi, ni kweli mdundo na muziki wa amsha amsha una mashabiki wake. Lakini zipo nyimbo za slow nazo zinapendwa na watu hata wasioelewa kinachoimbwa.
Huo ndio muziki!
Basi sawa. Uko sahihi!Jiulize kwanini Diamond alivyobadisha styles za muziki wake ndiyo anazidi ku'mushroom internationally, kwasababu amelenga zaidi kwenye entertainment za amsha amsha. Amelijua soko kwani kuliteka soko ni kulenga utashi wa majorities.
Tuko pamoja.Basi sawa. Uko sahihi!
Neno💯💯💯💯Jiulize kwanini Diamond alivyobadisha styles za muziki wake ndiyo anazidi ku'mushroom internationally, kwasababu amelenga zaidi kwenye entertainment za amsha amsha. Amelijua soko kwani kuliteka soko ni kulenga utashi wa majorities.
Jiulize kwanini Diamond alivyobadisha styles za muziki wake ndiyo anazidi ku'mushroom internationally, kwasababu amelenga zaidi kwenye entertainment za amsha amsha. Amelijua soko kwani kuliteka soko ni kulenga utashi wa majorities.
Standards. Diamond amejimilikisha Bongo Fleva mpaka kila mtu anaamini ni yake.Afu kwa sasa wasanii wengi kama si wote wanaiga mziki anaoufanya huyo jamaa...akihamia aina fulani ya mziki haichukui muda na wengine wanaiga
Team WCB mkapambane tu na Harmonize kwa sasa. Jamaa ana mkakati mzuri sana this time.
You've missed my point, sijasema lugha ndiyo kiwakilishi bali danceable music(muziki wa amsha amsha) ndiyo njia ya kuliteka soko la wale wasioelewa lugha iliyoimbwa, ndiyo maana Wacongo na Wahindi wanalenga sana kwenye muziki wa kuchezeka.Una mawazo mazuri lakini umeteleza kudhani muziki mzuri unatokana na lugha.
Wahindi wana nyimbo nzuri na zinatamba almost dunia nzima na watu hawaelewi hata wanachoimba. Wakongo na wale kina Despacito vile vile.
Hayo mengine ya kusema Diamond ni mkali kuliko wasanii wengine sio lengo la uzi huu.
Word.For any afro music match up debate to be relevant hapa kwetu lazima Diamond atajwe..kid has set the bar too high kiasi hata wakiahindanishwa wengine lazima “mfano” utajwe.so waelewe tu boss
Marioo,Barnabas,mbosso,lavalava hawafanyi muziki anaofanya diamond unawezaje kusema wasanii wanaiga mziki wake? Hebu nitajie hao wanaoiga muziki wao?Afu kwa sasa wasanii wengi kama si wote wanaiga mziki anaoufanya huyo jamaa...akihamia aina fulani ya mziki haichukui muda na wengine wanaiga
Musically Mondi kaachwa mbali na Kiba...juzi nimemuona Mondi akiimba na playback mbaya vile..je akiimba na live band itakuwajeSasa mbona mnataka kumchosha kiba? Amesha buruzwa na mond,hajapumzka mnataka muweke ligi mpya na Malaw tena?
Mtamuua mtoto wa watu [emoji2]