Mpinzani halisi wa Alikiba ni MarLaw, sio Diamond...

For any afro music match up debate to be relevant hapa kwetu lazima Diamond atajwe..kid has set the bar too high kiasi hata wakiahindanishwa wengine lazima β€œmfano” utajwe.so waelewe tu boss
 
inabidi uwe na akili kubwa kuelewa hapo
 
Nilipousoma huu uzi ndo nikajua kuwa Marlaw ametoa nyimbo huku kitaa sijawahi kuusikia niwe mkweli katika hili,baada ya kumaliza kusoma alichoandika haraka sana nikaenda kuupakua ni nyimbo ya kawaida wala haina maajabu.
Mi mpaka sasa sijausikia.
 
Jiulize kwanini Diamond alivyobadisha styles za muziki wake ndiyo anazidi ku'mushroom internationally, kwasababu amelenga zaidi kwenye entertainment za amsha amsha. Amelijua soko kwani kuliteka soko ni kulenga utashi wa majorities.
 
Basi sawa. Uko sahihi!
 
Reactions: Qwy

NenoπŸ’―πŸ’―πŸ’―πŸ’―
 
Reactions: Qwy
Afu kwa sasa wasanii wengi kama si wote wanaiga mziki anaoufanya huyo jamaa...akihamia aina fulani ya mziki haichukui muda na wengine wanaiga

Standards. Diamond amejimilikisha Bongo Fleva mpaka kila mtu anaamini ni yake.

Ni kama Soka. Kuna vilabu vimejimilikisha nchi mpaka unaweza kudhani zipo zenyewe tu humo. Kama ambavyo Simba SC inavyotaka kujimilikisha Soka la Bongo.

Hiyo ni akili kubwa.
 
Aha nimeelewa ungee sema moja kwa moja tu Kwamba Kiba kesha potea yupo level za Lawrence
 
Kweli aisee...
Marlaw ametoa wimbo wa Taa, Ali Kiba ameachia wimbo wa Mshumaa...
Taa vs Mshumaa...
Hakika hawa ndio washindani halisi..!
πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
You've missed my point, sijasema lugha ndiyo kiwakilishi bali danceable music(muziki wa amsha amsha) ndiyo njia ya kuliteka soko la wale wasioelewa lugha iliyoimbwa, ndiyo maana Wacongo na Wahindi wanalenga sana kwenye muziki wa kuchezeka.
 
For any afro music match up debate to be relevant hapa kwetu lazima Diamond atajwe..kid has set the bar too high kiasi hata wakiahindanishwa wengine lazima β€œmfano” utajwe.so waelewe tu boss
Word.
 
Afu kwa sasa wasanii wengi kama si wote wanaiga mziki anaoufanya huyo jamaa...akihamia aina fulani ya mziki haichukui muda na wengine wanaiga
Marioo,Barnabas,mbosso,lavalava hawafanyi muziki anaofanya diamond unawezaje kusema wasanii wanaiga mziki wake? Hebu nitajie hao wanaoiga muziki wao?
 
Sasa mbona mnataka kumchosha kiba? Amesha buruzwa na mond,hajapumzka mnataka muweke ligi mpya na Malaw tena?
Mtamuua mtoto wa watu [emoji2]
Musically Mondi kaachwa mbali na Kiba...juzi nimemuona Mondi akiimba na playback mbaya vile..je akiimba na live band itakuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…