Mpinzani wa kweli wa kisiasa ni Bob Wine, Mbowe, Lissu na Mnyika

Mpinzani wa kweli wa kisiasa ni Bob Wine, Mbowe, Lissu na Mnyika

Tatizo bongo mbwa nyie mkiambiwa twendeni kuandamana mnajifungia sebuleni na kuwasha TV ili mjue wangapi wamevunjwa miguu.Tunawaangusha wenyewe alafu mnawafananisha na nchi za raia wenye mioyo mipana...
Kiongozi we uliingia barabara gani siku ile?
 
Bob Wine ameingia kwenye siasa za upinzani wa kweli nchini Uganda sasa ni miaka 3.kwa muda huo mfupi ameonyesha kumpinga rais wa Uganda mh Mseven kwa vitendo bila kuogoapa...
Unakumbuka Mbowe alikuwa anapewa gari na milion kadhaa ili asisimamishe mgombea kule kwa mkono!! Na alikuwa anafanya hivo
 
Huyu na lissu watoto wababa mmoja, sema watz mnashadadia sana vitu ambavyo hamvijui vizuri. Mkijavitambua mnakuja kulialia hapa. Niwajulishe tu bara la africa linarudi nyuma sababu ya vyama vingi, divide and rule
Sawa
 
AWAMU YA TANO INAVYOTUMINYA inatakiwa waongeze mbinyo mpaka tuchakae wote.
Tunawabinya mafisadi kama wewe na viboko wengine tunawacharaza. Huyo Lissu wenu hamtamsikia tena kwani hata huko ubelgiji wameshambinya. Hata huyo Robert Amsterdam wake walishambinya. Sheria za Ubelgiji na kimataifa haziruhusu wakimbizi wa kisiasa kupayuka mamidomo yao kuhusu siasa za nchi walizozikimbia.

Na kwetu huku Lissu tumesha munyang'anya uraia wa nchi yetu. Si raia tena wa Tanzania wala si diaspora. Haruhusiwi kukanyaga tena nchi yetu kama ambavyo Miguna Miguna haruhusiwi kukanyanga nchi ya Kenya.

You must get this into your heads. Every country in the world has zero tolorence to mercenaries! Tundu Lissu is a mercenary but not Bob Wine.
 
Pchyuuuuuuu...... Tangu lini Tundu Lissu atavaa viatu vya Bobi Wine, Lissu na hawezi kumfikia Bobi Wine ata robo., Bobi anapigana akiwa ndani ya Uganda ana kwa ana na M7, ametishwa mara kupigwa na kuteswa mara ngapi akitoka jela anapambana na M7 masaa 24 usiku na mchana.

Tundu Lissu shida yake ni urais tu ata hana mapenzi na mashabiki wake, alipigwa risasi akiwa mbunge akasema harudi Tanzania mpaka ahakikishiwe ulinzi, lakini alijitosa kwa sababu anataka urais akaja bila ya kupewa ulinzi baada ya uchaguzi akasema eti kapigiwa simu na mtu atakayemuua akakimbilia ubalozi wa ujerumani akapanda ndege belgium

Sasa niambie Bobi Wine apigiwe simu ya kuuawa anaweza kukimbia Uganda kwa sabababu kapokea simu ya kuuliwa? Lissu hawezi kuwa kama Bobi Wine He is far from Bobi Wine, Hao kina Mbowe na Mnyika ndio kabisa.

Kiongozi mwenye kushabihiana na Bobi Wine ni Maalim Seif peke yake hakuwahi kwenda ukimbizini ata siku 1 kwa sababu ya kutishwa, na maalim seif anakotokea ameshatishwa sana zaidi ya sana bado yupo Unguja na wananchi siku zote.

Tundu Lissu
 
Huu uzi wakiusoma akina heche, sugu, lema wataumia sana. Vijana wao wa mtandaoni hawawaamini kama ni wapinzani wa kweli
 
Tatizo Kuu la Robert Kyagulanyi alias Bob Wine japokuwa anapenda Siasa na ana Ushawishi kwa Vijana ila tabia yake ya Usela ( Uhuni ) itamponza.
 
Ni Mganda/ Watanzania halisi wakipambana na wahutu
 
Kiongozi mwenye kushabihiana na Bobi Wine ni Maalim Seif peke yake hakuwahi kwenda ukimbizini ata siku 1 kwa sababu ya kutishwa, na maalim seif anakotokea ameshatishwa sana zaidi ya sana bado yupo Unguja na wananchi siku zote.
Umenena sahihi. Hapa kwetu mpinzani wa kweli ni Maalim Seif na Prof. Lipumba pekee. Huko Kenya ni Raila Odinga. Uganda kuna mwanaharaki tu anayeitwa Bob Wine. Rwanda na Burundi hakuna

Lissu kajiunga na kundi la wanaharakati wa Tanzania linalojumlisha akina Fatuma Karume, Maria Sarungi, Jenerali Ulimwengu, IDU na Waryoba!
 
Huo ni mtazamo wako wa kiccm ccm tu maana kwenu mpo tayari kuiita nyeupe kuwa nyeusi kisa ccm iendelee kutawala
 
Tatizo Kuu la Robert Kyagulanyi alias Bob Wine japokuwa anapenda Siasa na ana Ushawishi kwa Vijana ila tabia yake ya Usela ( Uhuni ) itamponza.
Hapa tunazungumzia mpinzani wa rais,hatuangalii amevaa sura gani
 
Back
Top Bottom