Mpira alioupiga leo Molinga Yanga tulifel wap?

abdulhamis

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2019
Posts
1,436
Reaction score
2,296
Habari wadau wote wa Yanga polen na majukumu.

Leo nimebahatika kuangalia Samakiba kwanza niwapongeze Samata na Alikiba bila kusahau Wachezaji wote waliojitolea kuwapa Sapoti

Leo kama umeangalia Mpira au Hata kuusikiliza utakuwa Umesikia Sana Jina Molinga au kumuo Mara nyingi Kwa uwezo alio uonyesha Molinga ni Wazi kua Yanga Kuna Tatizo la Kiufundi na sio Tatizo la Wachezaji Tena inaonesha Wachezaji wengi Tunao Waacha ni Wazur

Yanga kabla hatuja Fanya usajili Tujiulize Tunafeli wapi.

Simba Hongeren mchezaji wenu kanyea Mbingu molison [emoji1787][emoji1787]
 
Utasababisha vyura watengue uamuzi wao wa kumuacha bure kabisa papaa Molinga
 
Habar wadau wote wa Yanga polen na majukum

Leo nimebahatika kuangalia Samakiba kwanza niwapongeze Samata na Alikiba bila kusahau Wachezaji wote walio Jitolea kuwapa Sapot

Leo kama umeangalia Mpira au Hata kuusikiliza utakua Umesikia Sana Jina Molinga au kumuo Mara nyingi Kwa uwezo alio uonyesha Molinga ni Wazi kua Yanga Kuna Tatizo la Kiufundi na sio Tatizo la Wachezaji Tena inaonesha Wachezaji wengi Tunao Waacha ni Wazur

Yanga kabla hatuja Fanya usajili Tujiulize Tuna feli wap

Simba Hongeren mchezaji wenu kanyea Mbingu molison [emoji1787][emoji1787]
Ila ni vigumu kupima ubora wa mchezaji kwenye bonanza!
 
Molinga kweli leo kaupiga "mwingi". Ni sawa na demu uliempiga chini huku bado anakupenda, halafu bado yuko maeneo karibu na kwako. Atajitahidi apendeze sana ili pengine hata ubadili maamuzi. Chance yoyote anayopata ya kua karibu na wewe atajitahidi atokelezee tofauti ili ujutie maamuzi yako.

Kuhusu Morisson nusu kaupiga, nusu kavurunda. Kiasi kamsumbua Lamine Moro, kumkimbiza na chenga zake za hapa na pale.

Lakin pia kavurunda, Penalt ya mapozi kakosa, penalt ya direct nayo kakosa, pasi alikua akipiga hazifiki kwa walengwa. Kajiangusha mara kadhaa kama kawaida yake kulilia penalt. Pia mbwembwe ziliharibu, pengine alikua anacheza na Jukwaa zaidi labda sababu ni mechi ya kirafiki.

Kwa mechi ya leo nimemuona hivyo, labda apewe muda zaidi
 
Habar wadau wote wa Yanga polen na majukum

Leo nimebahatika kuangalia Samakiba kwanza niwapongeze Samata na Alikiba bila kusahau Wachezaji wote walio Jitolea kuwapa Sapot

Leo kama umeangalia Mpira au Hata kuusikiliza utakua Umesikia Sana Jina Molinga au kumuo Mara nyingi Kwa uwezo alio uonyesha Molinga ni Wazi kua Yanga Kuna Tatizo la Kiufundi na sio Tatizo la Wachezaji Tena inaonesha Wachezaji wengi Tunao Waacha ni Wazur

Yanga kabla hatuja Fanya usajili Tujiulize Tuna feli wap

Simba Hongeren mchezaji wenu kanyea Mbingu molison [emoji1787][emoji1787]
Msajili timu ya kijijini kwenu
 
Mechi yenyewe siyo ya ushindani, unampimaje mchezaji kiwango kwenye bonanza
 
Mimi molinga namuelewa sana.. toka enz za yanga..

Kina mkwassa walimuaribu tu kisaikolojia walivyokuwa wanamsema sema na kumuweka benchi..

Ila molinga anajua sana kuji position uwanjani kama mshambuliaji..

Anajua sana na mwepesi kufanya maamuzi akae wapi na muda gani akiona move ya kushambulia imeanza.. ndio maana pamoja na ubonge wake ndie mchezaji aliefunga magoli mengi kwa upande wa yanga.

Na hata ligi nzima.. waliomzidi magoli ni wachache sana.. huku molinga kawekwa sana benchi mechi nyingi
 
Huyo si ndiyo alikuwa mfungaji mkuu wa mabao Yanga,sasa walimuacha kwa vigezo vipi.
 
Msimu ujao ile style yake ya mbwa kukojoa atakuwa anawaonyeshea nye utopolo yaani inauma
Ni kweli molinga kacheza vizuri mno leo.
Morisson hamna mchezaji pale[emoji38]
 
Zahera si aliwaambia kuwa huyo ni mchezaji mzuri.
Na bila Mkwasa kutompanga mechi angefikisha magoli 20.
Mnamatatizo kwenye uongozi
 
Hata uwanjani hakua mzigo kumbuka ndio top scorer wa yanga

Na kuna mechi kibao hakucheza kabisa.. mkwassa alikuwa hampendi na anamuacha nyumbani timu inaposafiri kucheza mechi.. angecheza mechi zote angekuwa na magoli mengi zaidi
 
Kwel we unafikir wale viungo waliopo simba angewapata Molinga angekuaje
 
Habari wadau wote wa Yanga polen na majukumu.

Leo nimebahatika kuangalia Samakiba kwanza niwapongeze Samata na Alikiba bila kusahau Wachezaji wote waliojitolea kuwapa Sapoti

Leo kama umeangalia Mpira au Hata kuusikiliza utakuwa Umesikia Sana Jina Molinga au kumuo Mara nyingi Kwa uwezo alio uonyesha Molinga ni Wazi kua Yanga Kuna Tatizo la Kiufundi na sio Tatizo la Wachezaji Tena inaonesha Wachezaji wengi Tunao Waacha ni Wazur

Yanga kabla hatuja Fanya usajili Tujiulize Tunafeli wapi.

Simba Hongeren mchezaji wenu kanyea Mbingu molison [emoji1787][emoji1787]
Mkuu samahan matokeo ngapi ngapi?
 
Back
Top Bottom