Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Sio tu ushindi bali tumewazidi point pia position katika table na hapo kumbuka hătujapoteza mchezo hata mmoja na tunamichezo yetu 2. Lazima muweweseke sanaHahaha.. Hongereni kwa kuendelea kupata ushindi wa 'tia maji tia maji'.. Ila aminini ipo siku inakuja nayo haipo mbali.. Huto tugoli, mtakua mnatutafuta kwa tochi.. Na kamwe hamtotupata.
Hahahaa. Ahsante Mtani.Hahaha.. Hongereni kwa kuendelea kupata ushindi wa 'tia maji tia maji'.. Ila aminini ipo siku inakuja nayo haipo mbali.. Huto tugoli, mtakua mnatutafuta kwa kochi.. Na kamwe hamtotupata.
Ķilelèni mtafiķishwa na kagera sugar ambao huwa hawawachagi salama. Ila mbaò walishawafikisha kileleni tayarì mapema tuYanga hawalijui hili.. Ila soon tutakuatana nao kileleni, alafu tuone nani atakua juu.
Hahahahaaaa. Wajipange Swahiba.Sio tu ushindi bali tumewazidi point pia position katika table na hapo kumbuka hătujapoteza mchezo hata mmoja na tunamichezo yetu 2. Lazima muweweseke sana
Hahaha.. Kuweka kumbukumbu sawa, mmebakiza mchezo mmoja tu.Sio tu ushindi bali tumewazidi point pia position katika table na hapo kumbuka hătujapoteza mchezo hata mmoja na tunamichezo yetu 2. Lazima muweweseke sana
Hahahha hii table kwaò ni kama kukata kitunguu maji wàkiiangalia lazima watokwe machozi
Ni sawaa magoli yana umuhimu ila si kwamba kila msimu unahitimishwa na tofauti ya magoli mdogo wangu.Ndio hapo tunahamia kwenye magoli sasa, point zikiwa sawa wanaangalia utofauti wa magoli ya kufunga na kufungwa.
Magoli ni muhimu si ya kubeza
Mkuu angalia table ipo hapo juu ujioneeHahaha.. Kuweka kumbukumbu sawa, mmebakiza mchezo mmoja tu.
Kuweseka kwetu ni kugawa dozi nzito nzito tu, 03/11.
NB: Ile honeymoon yenu ya kushinda ndani siku 11 imekaribia kuisha.. Tunawasubiri mtoke nje.
Hahahaaa. Tunalijua sana Mtani ila sio kila siku jumamosi.Yanga hawalijui hili.. Ila soon tutakuatana nao kileleni, alafu tuone nani atakua juu.
Mnafunga goli la offside mnashangilia?! Narudia hizi mbwembwe zina mwisho wake.Hahahaa. Ahsante Mtani.
Hamna kitu kama hicho Mtani sababu ni game ya KMC tu ndio goli tumelipata mwishoni ila nje ya hapo tunafunga ndani ya first half ambapo ni ngumu kusema goli lilikuwa la tia maji kwani ni bahati tu yakuongeza hiyo migoli haiwi upande wetu maana sio kwamba nafasi za magoli hatutengenezi.
Hahahaaaa. Waliage tu watani zangu maana hakuna namna.Hahahha hii table kwaò ni kama kukata kitunguu maji wàkiiangalia lazima watokwe machozi
Haha.. Nimeiona Mkuu.. Umeona sisi na nyinyi, tofauti ni mechi ngapi?Mkuu angalia table ipo hapo juu ujionee
Still unbeatenHahaha.. Hongereni kwa kuendelea kupata ushindi wa 'tia maji tia maji'.. Ila aminini ipo siku inakuja nayo haipo mbali.. Huto tugoli, mtakua mnatutafuta kwa tochi.. Na kamwe hamtotupata.
Ukiwa na magoli machache uko kwenye risk sana tofauti na yule mswenye magoli mengi mnayelingana pointNi sawaa magoli yana umuhimu ila si kwamba kila msimu unahitimishwa na tofauti ya magoli mdogo wangu.
Maana kuna kuzidiwa point pia ambapo mwisho wa siku goli haziwi na faida.
Hahahaaa. Offside ilikuwa wapi Mtani wakati beki mwenyewe ndio kacheza boko.Mnafunga goli la offside mnashangilia?! Narudi hizi mbwembwe zina mwisho wake.
Kumbe ushatupia table ya tpl
Mdogo wangu na ikiwa mechi nyingi umeshinda je?Ukiwa na magoli machache uko kwenye risk sana tofauti na yule mswenye magoli mengi mnayelingana point
Mechi moja, mpaka sasa umeona point tulizonazo? Unahisi tupo sawa? Unahisi magòli yenu yatawasaidia kutupata? Hakika hapanàaaa jipangeni kwenda FIFA tenaHaha.. Nimeiona Mkuu.. Umeona sisi na nyinyi, tofauti ni mechi ngapi?
Tayari Swahiba. Lazima waelewe tu mwaka huu.Kumbe ushatupia table ya tpl