MPIRA AUKO FAIR..MAGOLI 10 PTS 6/MAGOLI MAWILI PTS SITA......HAPAKAZITUU

MPIRA AUKO FAIR..MAGOLI 10 PTS 6/MAGOLI MAWILI PTS SITA......HAPAKAZITUU

Hahaha.. Hongereni kwa kuendelea kupata ushindi wa 'tia maji tia maji'.. Ila aminini ipo siku inakuja nayo haipo mbali.. Huto tugoli, mtakua mnatutafuta kwa tochi.. Na kamwe hamtotupata.
Sio tu ushindi bali tumewazidi point pia position katika table na hapo kumbuka hătujapoteza mchezo hata mmoja na tunamichezo yetu 2. Lazima muweweseke sana
 
Hahaha.. Hongereni kwa kuendelea kupata ushindi wa 'tia maji tia maji'.. Ila aminini ipo siku inakuja nayo haipo mbali.. Huto tugoli, mtakua mnatutafuta kwa kochi.. Na kamwe hamtotupata.
Hahahaa. Ahsante Mtani.

Hamna kitu kama hicho Mtani sababu ni game ya KMC tu ndio goli tumelipata mwishoni ila nje ya hapo tunafunga ndani ya kipindi cha kwanza ambapo ni ngumu kusema goli lilikuwa la tia maji kwani ni bahati tu yakuongeza hiyo migoli haiwi upande wetu maana sio kwamba nafasi za magoli hatutengenezi.
 
Sio tu ushindi bali tumewazidi point pia position katika table na hapo kumbuka hătujapoteza mchezo hata mmoja na tunamichezo yetu 2. Lazima muweweseke sana
Hahahahaaaa. Wajipange Swahiba.

20181031_064448.jpg
 
Sio tu ushindi bali tumewazidi point pia position katika table na hapo kumbuka hătujapoteza mchezo hata mmoja na tunamichezo yetu 2. Lazima muweweseke sana
Hahaha.. Kuweka kumbukumbu sawa, mmebakiza mchezo mmoja tu.

Kuweseka kwetu ni kugawa dozi nzito nzito tu, 03/11.

NB: Ile honeymoon yenu ya kushinda ndani siku 11 imekaribia kuisha.. Tunawasubiri mtoke nje.
 
Ndio hapo tunahamia kwenye magoli sasa, point zikiwa sawa wanaangalia utofauti wa magoli ya kufunga na kufungwa.

Magoli ni muhimu si ya kubeza
Ni sawaa magoli yana umuhimu ila si kwamba kila msimu unahitimishwa na tofauti ya magoli mdogo wangu.

Maana kuna kuzidiwa point pia ambapo mwisho wa siku goli haziwi na faida.
 
Hahaha.. Kuweka kumbukumbu sawa, mmebakiza mchezo mmoja tu.

Kuweseka kwetu ni kugawa dozi nzito nzito tu, 03/11.

NB: Ile honeymoon yenu ya kushinda ndani siku 11 imekaribia kuisha.. Tunawasubiri mtoke nje.
Mkuu angalia table ipo hapo juu ujionee
 
Hahahaa. Ahsante Mtani.

Hamna kitu kama hicho Mtani sababu ni game ya KMC tu ndio goli tumelipata mwishoni ila nje ya hapo tunafunga ndani ya first half ambapo ni ngumu kusema goli lilikuwa la tia maji kwani ni bahati tu yakuongeza hiyo migoli haiwi upande wetu maana sio kwamba nafasi za magoli hatutengenezi.
Mnafunga goli la offside mnashangilia?! Narudia hizi mbwembwe zina mwisho wake.
 
Ni sawaa magoli yana umuhimu ila si kwamba kila msimu unahitimishwa na tofauti ya magoli mdogo wangu.

Maana kuna kuzidiwa point pia ambapo mwisho wa siku goli haziwi na faida.
Ukiwa na magoli machache uko kwenye risk sana tofauti na yule mswenye magoli mengi mnayelingana point
 
Back
Top Bottom