Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
😂😂😂😂 nakazia.Mechi moja, mpaka sasa umeona point tulizonazo? Unahisi tupo sawa? Unahisi magòli yetu yatawasaidia kutupata? Hakika hapanàaaa jipangeni kwenda FIFA tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂 nakazia.Mechi moja, mpaka sasa umeona point tulizonazo? Unahisi tupo sawa? Unahisi magòli yetu yatawasaidia kutupata? Hakika hapanàaaa jipangeni kwenda FIFA tena
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Mdogo wangu na ikiwa mechi nyingi umeshinda je?
Mwaka huu hatuna mpango wa kuwa point sawa na Mkia. [emoji23][emoji23][emoji23]
Inakuwaje pale unä magoli machache lakini una mapoint mengi hiyo risk inakujajèUkiwa na magoli machache uko kwenye risk sana tofauti na yule mswenye magoli mengi mnayelingana point
Wanavyozifadhili timu zinazokuja dar kucheza na Yanga na kuwaahidi wakishinda watawapa kiasi kadhaa na wakidroo kiasi ndio kama wanachongea vileTayari Swahiba. Lazima waelewe tu mwaka huu.
Maana kama ni Chuma ndio kishapata moto. [emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahaaaa. Ndio wakae wakijua Zahera si Mtu mzuri Swahiba.Wanavyozifadhili timu zinazokuja dar kucheza na Yanga na kuwaahidi wakishinda watawapa kiasi kadhaa na wakidroo kiasi ndio kama wanachongea vile
Hahahaaa. Offside ilikuwa wapi Mtani wakati beki mwenyewe ndio kacheza boko.
Subiri Kipyenga cha mwisho pale Azam na Othman Kazi halafu ndio uje kuhitimisha haya maneno yako Mtani nje ya hapo tutasema unajifariji tuu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Kumsikiliza yułe ni sawa na kumsikiliza manara tuEti eeee. Hivyo aweza kuwa upande wa sembo na kusema lile bao ni Offside. Duuhh.
Ama kweli utakuwa ushabiki mbaya.
Kumekucha watani wa jadi
Duuh! Sijawahi iona hiyo rangi yake ujue.Kumsikiliza yułe ni sawa na kumsikiliza manara tu
Hahahaha safi Sana, mtani ndio vzrKumekucha hasaaaa. Zamu yetu kutamba Mtani. [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Haijalishi tuna tugoli tungapi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa. Utani wa jadi huu ni balaa.Hahahaha safi Sana, mtani ndio vzr
Ndio wenyewe, sasa mtani baada ya kuwapa Mokambo ,Nina MTU hapa Tp mazembe ,Ben Malango vipi niwaletee? au niwape matajiri wa msimbazi? [emoji23] [emoji23]Hahahaaa. Utani wa jadi huu ni balaa.
Aaah! Wape tu Mikia maana hao wazee ni wa kuwania wania maana wakishasikia tu Yanga anamtaka fulani basi macho na masikio wanaelekeza huko. Teh tehNdio wenyewe, sasa mtani baada ya kuwapa Mokambo ,Nina MTU hapa Tp mazembe ,Ben Malango vipi niwaletee? au niwape matajiri wa msimbazi? [emoji23] [emoji23]
Furaha yenu ni ya muda tu Hajar mambo yatakapoanza kugeuka huo mnuno wake sijui itakuaje, kama nakuona vile😀😀😀