MPIRA AUKO FAIR..MAGOLI 10 PTS 6/MAGOLI MAWILI PTS SITA......HAPAKAZITUU

MPIRA AUKO FAIR..MAGOLI 10 PTS 6/MAGOLI MAWILI PTS SITA......HAPAKAZITUU

Mdogo wangu na ikiwa mechi nyingi umeshinda je?

Mwaka huu hatuna mpango wa kuwa point sawa na Mkia. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Hahahaaa. Mtani wangu sembo leo zamu yako.

Juzi mlinishambulia sehemu mpaka nikakosa pa kutokea ila leo kibao kimegeuka. [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Yule wa kipyenga cha mwisho nì shabiki wa mbumbumbu damu tangu enzi za urefa waķe waala usimsikìļize
Hahahaaa. Offside ilikuwa wapi Mtani wakati beki mwenyewe ndio kacheza boko.

Subiri Kipyenga cha mwisho pale Azam na Othman Kazi halafu ndio uje kuhitimisha haya maneno yako Mtani nje ya hapo tutasema unajifariji tuu. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio wenyewe, sasa mtani baada ya kuwapa Mokambo ,Nina MTU hapa Tp mazembe ,Ben Malango vipi niwaletee? au niwape matajiri wa msimbazi? [emoji23] [emoji23]
Aaah! Wape tu Mikia maana hao wazee ni wa kuwania wania maana wakishasikia tu Yanga anamtaka fulani basi macho na masikio wanaelekeza huko. Teh teh
 
Back
Top Bottom