uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
- Thread starter
- #21
Kumbe ronaldo sio mchezaji wa muhimu?
Nani alipe mtu mamilioni ili akae benchi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani alipe mtu mamilioni ili akae benchi?
Ronaldo ni mchezaji wangu bora namba mbili wa muda wote, baada ya Leonel Messi.
Kwa sasa, kilichomponza Ronaldo ni mdomo na ujivuni uliopitiliza. He thinks he's better than everyone and everything! Anataka kila mtu amuabudu, sio kocha wala uongozi wa club!
Hapo ndipo tatizo lilipo. Suala la umri kusogea, ni nature and we all know you can't stay fresh forever. Alitakiwa tu awe mpole, amalize soka lake kwa heshima, lakini imekua tofauti. Ameharibu kuanzia kwenye club, mpaka team ya taifa. Anapoteza heshima yake kijinga sana!
After all is said and done, Ronaldo anabaki kua mchezaji wa kipekee sana. Rekodi zake zinajieleza zenyewe. Kama Leonel Messi asingezaliwa, basi Cristiano Ronaldo ndie angekua mchezaji bora kabisa wa muda wote!
Ronaldo na Messi umri sawa? Nikukumbushe wachezaji wengi mastaa humalizia soka kwenye ligi zisizo na ushindani mkubwa.Messi wa kombe la Dunia hawezi kuwa Messi wa ligi.Hiki kilichomtokea ronaldo ni aibu ya karne
Mchezaji bora mara tano wa dunia ronaldo alikataliwa na kila timu huko ulaya
Timu moja iliyomkubalia ni timu yake ya utotoni ila ikaweka mashariti kuwa hawatalipa mshahara acheze bure
Ulaya ndio kitovu cha mpira wa dunia na ulaya imemkataa mchezaji bora mara tano
Haijawahi kutokea mchezaji aliyeshinda uchezaji bora hata mara moja kukataliwa hivi
Kina gaucho,kaka, de lima, beckham,zidane waliondoka ulaya huku kilab nyingi zikiwa zinahitaji huduma zao ila walikataa
Messi amelazimishwa kusaini mkataba mpya kule psg ameambiwa acheze hadi achoke
Bado barcelona inamwomba arudi, bayern wanamtaka,Man City wanamtaka
Ronaldo kaamua kwenda uswekeni
Ronaldo hajawahi kucheza jangwani
Je ataweza kucheza jangwani? Au tutarajie ugomvi mwingne akashtski kwa morgan
Huyo Messi akifika umri wa Ronaldo hawezi kukataa dili kama lile. Endelea kuamini hivyo hivyo timu zote Ulaya zimemkataa wakati mwenzako anaenda kuingiza Tsh 16,000 kwa sekunde. Just imagine kwa kila pumzi unayoivuta au kuitoa unaingiza hiyo pesa.
37 years old
Mpaka Sasa kajitaidi mno kuwepo ulaya (for competitive football).
And it's a very good choice kwenda kumalizia mpira huko Uarabuni.
Messi is 35 years old, no wonder akifika na yeye 37 years atakua kachoka kama Ronaldo.
Mtoa mada wewe ni mgeni katika soka? Mara ngapi tumewashuudia mastaa kibao at this age even lower age than this wanaenda malizia maisha Yao ya soka Uarabuni or Marekani!
Ronaldo na Messi umri sawa? Nikukumbushe wachezaji wengi mastaa humalizia soka kwenye ligi zisizo na ushindani mkubwa.Messi wa kombe la Dunia hawezi kuwa Messi wa ligi.
Unapata nini kwenye haya mapambano?Wewe kuwa na aibu
Tulikubaliana
1Messi
2messi
3 messi
4pele
Wanafuata watajipanga wenyewe
Unapata nini kwenye haya mapambano?
Malezi mabaya aliyopitia, unajua tena single mother.Shida ya Ronaldo anaonesha mapungufu yake wazi wazi...
-Kujivuna..
-Kupenda sifa..
-Ujuaji mwingi...
Mwenzake ana mapungufu mengi tu ila ukimya umekuwa silaha ya kupendwa na vilabu vingi
wabongo ujuaji mwingi yaani anajiona ana akili kuliko management ya Ronaldo, ukute hapo alipo mambo yake tu tight ila kupangia watu wanaomzidi ndio anacho juaHivi kwa akili yako unadhani yeye hana washauri au aache kwenda kuchukua mpunga mrefu ukizingatia na umri..
Unafikiri ameshindwa kuendelea kucheza ulaya kwa akili tu ya darasa la saba.
Mimi napenda mpira mambo ya mtu binafsi hua hayanipi shidaHujaona habari kuwa mbape kaoa dume?
Kwaiyo Messi anacheza mpira bila mazoezi na CR7 anafanya mazoezi? Hivi uwa mnafikiri Kwa kutumia kiungo gani Cha mwili?
Mchezaji asiye na kipaji ila anafanya mazoezi tu ana wezaje kufunga Magoli 819 na anaendelea kucheza katika umri wa miaka 37.
Shule zifunguliwe haraka mkapate kazi za kufanya.
Unaishi kijiji gani?? Mbona imekuwa hivyo mwaka wa 4 huu sasaKumbe ronaldo sio mchezaji wa muhimu?
Hapo sasa Yani sasa ndo sitaki hata kumsikia na USHOGA wakeMbape mwenyewe shoga mkuu sijui tukimbilie wapi[emoji16]